Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

...leo wanacccm wameonesha unafiki wa kupindukia,hivi kweli kati ya wanachama zaidi ya 2000 hakuna hata mmoja aliyekuwa na swali japo moja kwa hao wagombe watatu?...
 
hehehehe naona leo unahoji mademu tuu.

Teh teh teh si unajua tena mkuu inabidi tuwawezeshe umecheki mwenyewe 3bomba ya magamba??! ebu fikiria mmama km Waridi-Migiro enzi zake anaonekana alikuwa pini na class fulani km Jokate wa leo!
Tuwawezeshe,tusiishie kwenye mambo yetu yaleee!!!
 
Teh teh teh si unajua tena mkuu inabidi tuwawezeshe umecheki mwenyewe 3bomba ya magamba??! ebu fikiria mmama km Waridi-Migiro enzi zake anaonekana alikuwa pini na class fulani km Jokate wa leo!
Tuwawezeshe,tusiishie kwenye mambo yetu yaleee!!!

inaonekana mama migiro alijitunza sana katika ujana wake,huwez kufananisha na dada zetu wa siku hizi
 
Mimi nataka sana Da Amina ateuliwa kupeperusha bendera ya CCM na usiku huu nitatambika ili tamanio langu liwe kweli.

Naombeni muungane nami kwenye tambiko langu ili Da Amina aweze kupita.

Go Da Amina go!

we unamwita dada wakati ni bibi yule,ana watoto watano
 
kuchelewa kutoa matokea maana yake iwe isiwe lazima apite anayetakiwa na wakubwa ambaye ni magufuli au migiro, wanajua team ya lowasa wanaweza mpa amina na vile umri wake umeenda mikeke mikeke ya kampeni imshinde ili ukawa wabebe kilaini, hivyo iwe isiwe kura zipigwe au zisipigwe atapita anayetakiwa kweli na wakuu.
 
inaonekana mama migiro alijitunza sana katika ujana wake,huwez kufananisha na dada zetu wa siku hizi

Yupo vizuri kichani lakini sio kiasi cha kuwa Rais! anajitambua sana yaelekea kabisa kitumbua yake tangu avunje ungo itakuwa imechezewa na Prof Migiro na Chikwete tu!!
 
Hahahaaaaaa hilarious.

Teh teh teh! mzee chikwete mjanja sana habahatishi kwenye mahaba! usinibishie.. ebu tazama hii chemistry Migiro-Songea Salma-Kindi kwa Wamwera huu ukanda ni mafundi wazuri sana kwenye uwanja wa seremala. Halafu eti kuna mijitu huvimba na kujigamba mapenzi kwao Tanga??? Tangaa?? wale wezi tu mapenzi kwao Ungonini na umwerani!! huoni Mkulu kajikunja hadi kuambulia tezi dyumee!!!
 
sasa wote watatoka bara mkuu?
Kwa kiwango cha Amina, hatuna jinsi! Vinginevyo awe kama picha! Mapungufu ya Magufuli kwa mambo ya nje kama yapo yatakuwa 'covered na Rose! Amina hatufai kabisaa!
 
haa haa demokrasia ya ccm ni matatizo yaani kura leo halafu matokeo kesho! hapo kuna namna..
 
Sasa turudi kwenye mada!! kiujumla with no doubt definetely CCM they are defeated!! tunamtaka material president sio hawa jamani hawawezi kabisa kutegua mitego ya mabepari wanaoitumbulia mimacho Nchi yetu. Tunataka mtu ambaye hayumbishwi si tu hapa nyumbani bali hata anapokuwa kule ng'ambo asizuzuliwe na madalali wa kimataifa kama comvoy ya mabepari wa Rostam Aziz ambao wana namna na mbinu za ushawishi zilizoenda shule so tracking them easily without being stable upstairs unastukia zamaani wakati huo walishakuliza kitambo sana na walishachukua chao kitambo!! si mnakumbuka chain ya Richmond-Dowans-Symbion walivyo tubamiza?? nani alijua cyndicate hii mapema??
Tunahitaji Rais ambaye anauelewa mtambuka wa kipi na yupi wa kuingia nae mkataba kwenye masuala nyeti ya raslimali zetu kwa tahadhari kubwa. Sio zoba zoba km Magufuli hata ungekuwa mkali au dicteta kiasi gani kwenye masuala ya utaalam ukikaa vibaya utalizwa tuu na kuishia kutimua subodinates kwenye suala ambalo lilikuwa na uwezekano mkubwa wa kuchukua tahadhari kabla athari haijatokea.

Hapa anae tufaa ni Prof Lipumba anauelewa mtambuka kwenye masuala makubwa na uzoefu pia anao. UKAWA should watchout this km lengo ni kutupeleka kuzuri sehemu ambayo kila mtanzania atanufaika na raslimali zetu.
 
Lipumba anatufaa ila chama chake hakitufa....sory for that
 
Imekuwa ni funzo kubwa tu. Miaka ijayo kutakuwa hakuna mbwembwe kama za kutafuta wadhamini 800,000 badala ya 450

Mtu anazunguka nchi nzima kutafuta wadhamini 450, sasa wengine ndio waone faida ya kiherehere bila kujua kuwa unavunja kanuni za chama lkn hata hivyo Lowasa na watu wake wanajua mchezo wote uliochezwa kuamua au kutokuamua wafanye nn ni juu yao.Tuendelee kutega masikio huu ni mwaka wa matukio na tukio la kwanza ni Lowasa tusubiri mengine.
 
UKAWA all the way Mkuu. Nilitegemea angalau hawa wanawake wawili wajieleze kwa kina waonyeshe wanastahili kushika nafasi ya juu ya uongozi nchini wakaishia kujikanyagakanyaga tu na huyo fisadi Magufuli naye hata kujieleza ni mgogoro. Kweli nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu, tuombe Mungu UKAWA watunasue kutoka kwenye hii hali ya kusikitisha sana miaka nenda miaka rudi.

Naomba wamuwwke Mwanamke ili Ukawa tuchukue nchi mapema xana.
 
Back
Top Bottom