Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wanabodi leo nguvu ya Lowasa ndani ya CCM imejidhihirisha wazi na hii ni kutokana na wajumbe wanaomsapoti kuamua kupiga kura za bora tukose wote na hili likifanyika watamchagua mgombea mwanamke tena wa kutoka Zanzibar na hilo likifanikiwa tu Lowasa njia nyeupe Magogoni kwani kwa gharama alizotumia na ambazo anaendelea kutumia mpaka sasa na kama kweli ACT ni chama chake na kwa jinsi alivyotumia nafasi ya kutafuta wadhamini kujitangaza nchi nzima na kuona jinsi anavyokubalika je akigombea kupitia ACT au chama chochote huyo Mama ataweza kupambana na Mamvi? Kwa mnaoanglia mkutano wa CCM unaoendelea sasa hivi imedhihirisha wazi EL ni chaguo la wajumbe karibu wote wa mkutano huo kwani kila linapotajwa jina lake ukumbi wote unalipuka kwa kushangilia je hamuoni kama hao wajumbe wanaweza mpigia mgombea mwanamke ambae kwa hali halisi Nchi yetu bado haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke? Pia Mamvi ana sapoti kubwa sana ya wabunge wa CCM akiondoka nao si atakua amekimaliza nguvu Chama Cha Mapinduzi na kujisafishia njia kuingia Ikulu?

Mkuu sidhani kama team lowasaa watakubalo yaishe....nasita kukubali hilo...kwanza kabisa wanajiona kama jk aliwatumia na kisha kuwasaliti...mimi ningekuwa jk nisingemkata lowassa mapema...ningefanya kila liwezekanalo nimkatie kwenye cc...kama kweli jina lake halikufika cc...nachelea kusema mambo bado sana...sijui watamnyamazisha kwa kumpa ahadi gani...ugombea wenza labda sijui..kwenye mkutano mkuu lowassa alikuwa na hasira...alikuwa kama anataka kupasuka alivofura...hata aliyekuwa pembeni yake niliona kama alikuwa anaogopa hata kumnong'oneza kitu...sijui kama ile hasira itaisha hivi hivi... Sidhani kama atakubali yaishe...sidhani..
 
Tena huyu aliyeuza nyumba za serikali kama njugu atauza hadi roho zetu walah
mgufuli huyu huyu si ndie aliye mu inspire yule mhaya mwingine aliye na SImbachawene..sasa ni mipasho na umbea mwingine sijui wahaya wanaume walipata wapi?hawa wanapepea na uongo kwa kwenda mbele mbaya.Magufuli kadananganya umma hadi kukemea wakandarasi ktk bunge na vyombo vya habari kwa vile anajua hawatojua kwamba kaenda sema tofauti na alivyowaomba wapige kazi kwa mkopo.Waziri muomgo km huyu ni bor akununua robot ili kupunguza uongo na umbea,na excuse za kipuuzi km za magufuli.
 
Ooh my God..... Are you serious

TATIANA wewe unawaonaje hawa 3candidates wana meet criteria za kuwa Rais mwakilishi wa Jamhuri Yetu kweli?
Tatizo naloliona hawa viongozi wetu wengi wao wanabweteka sana na hatimae kuwa nyuma kwa masuala mengi sana ambayo yangewapambanua kwamba wao ni viongozi wenye uelewa mtambuka! Wengi wapo too local na takwimu za kijinga jinga tuu!
Katika Nchi hii wapo wanasiasa wachache sana wenye vision ya kimataifa ktk kuiwakilisha Nchi yetu. Na hapa naomba nimpe credit mtu kama Zitto, Prof Lipumba, Prof Muhongo etc nafikiri ushanielewa naongelea watu wa kariba gani mkuu tatiana. Japo wengine wanavurugwa na mafisadi, mtu km zitto km angesettle kiukweli angefika mbali sana ila ndo hivyo basi tena!!
Maybe John Mnyika na "Tumbili bado wana bear hiyo status kinachotakiwa waendelee kupiga msuli tu!
 
Last edited by a moderator:
Dr.Slaa ana moto gani? CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado angemtupa mbali Dr.Slaa achilia mbali Dr.Magufuli.

Sasa Dr.Slaa zile drama zake za orodha ya mafisadi hamna tena.
Magufuli ni msafi hana kashfa .Nenda kasome ripoti CAG mwaka huu bilioni 262 za wizara ya ujenzi hazijulikani zimeenda wapi huko ccm wote ni mafisadi hakuna msafi .Dr Slaa ndo kiboko ya mafisadi mtahama nchi subirini
 
Dr.Slaa ana moto gani? CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado angemtupa mbali Dr.Slaa achilia mbali Dr.Magufuli.

Sasa Dr.Slaa zile drama zake za orodha ya mafisadi hamna tena.

ALAFU UKAWA NAWASHANGAA KWANINI PADRE SLAA WANAMUITA DR. alafu Dr. Waukweli Magufuli hawatangulizi tittle yake ...
 
Ooh my God..... Are you serious

TATIANA wewe unawaonaje hawa 3candidates wana meet criteria za kuwa Rais mwakilishi wa Jamhuri Yetu kweli?
Tatizo naloliona hawa viongozi wetu wengi wao wanabweteka sana na hatimae kuwa nyuma kwa masuala mengi sana ambayo yangewapambanua kwamba wao ni viongozi wenye uelewa mtambuka! Wengi wapo too local na takwimu za kijinga jinga tuu!
Katika Nchi hii wapo wanasiasa wachache sana wenye vision ya kimataifa ktk kuiwakilisha Nchi yetu. Na hapa naomba nimpe credit mtu kama Zitto, Prof Lipumba, Prof Muhongo etc nafikiri ushanielewa naongelea watu wa kariba gani mkuu tatiana. Japo wengine wanavurugwa na mafisadi, mtu km zitto km angesettle kiukweli angefika mbali sana ila ndo hivyo basi tena!!
Maybe John Mnyika na "Tumbili bado wana bear hiyo status kinachotakiwa waendelee kupiga msuli tu!
 
Last edited by a moderator:
Tunasubiri kauli tuu, ilikuwa ni safari ya matumaini kama angepitishwa na CCM, sasa itakuwa ni safari ya ukombozi wa pili wa Mtanzania!, akipita Amina au Migiro, Mwamba wa Kaskazi ukihama chama, CCM inapigwa chini kama kumsukuma mlevi!, ila akipita Magufuli, hata 'jamaa yangu' atajishauri kwanza!, kwa sababu siku zote, determinant ya nani ni rais wetu ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa!, hivyo akipitishwa Magufuli, wale kina Ngosha wote waliokuwa kambi ya Lowassa, watarudisha majeshi nyumbani!, hivyo hata mwenyewe anajua, akipita Magufuli, yeye hata akijitoa CCM, itakuwa ni wastage of time, kwa Magufuli ni jembe!.

Ukipata muda tembelea hapa
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Pasco

Mr Edo
 
Attachments

  • 1436651887336.jpg
    1436651887336.jpg
    52.3 KB · Views: 236
MKUU TULIA DAWA UKIENGIEE... Dr. Magufuli akipita ... Hamna chenu UKAWA .. tena kura zitazidi kupungua....
Akili yako unadhani mimi nina akili ya funza km yako.Nimekuwambia magufuli ni ROBOT NDIO MAANA JKA NALITAKA ILI ABAKI MADARAKANI KUPITIA HILO NA BAADAE AMWANDALIE NCHI RIZ1
 
Pasco umeongea ukweli ccm kupigwa chini halina ubishi hata wenyewe wanatambua vipi safari ya matumaini inaendelea ?nakumbuka ulisema Lowasa ni raisi iwe kwa ccm au nje ya ccm .
kuna kitu kinaitwa 'political dynamics' ambapo misimamo inachange with time in a fraction of a second!.

Pasco
 
TATIANA wewe unawaonaje hawa 3candidates wana meet criteria za kuwa Rais mwakilishi wa Jamhuri Yetu kweli?
Tatizo naloliona hawa viongozi wetu wengi wao wanabweteka sana na hatimae kuwa nyuma kwa masuala mengi sana ambayo yangewapambanua kwamba wao ni viongozi wenye uelewa mtambuka! Wengi wapo too local na takwimu za kijinga jinga tuu!
Katika Nchi hii wapo wanasiasa wachache sana wenye vision ya kimataifa ktk kuiwakilisha Nchi yetu. Na hapa naomba nimpe credit mtu kama Zitto, Prof Lipumba, Prof Muhongo etc nafikiri ushanielewa naongelea watu wa kariba gani mkuu tatiana. Japo wengine wanavurugwa na mafisadi, mtu km zitto km angesettle kiukweli angefika mbali sana ila ndo hivyo basi tena!!
Maybe John Mnyika na "Tumbili bado wana bear hiyo status kinachotakiwa waendelee kupiga msuli tu!

hehehehe naona leo unahoji mademu tuu.
 
Last edited by a moderator:
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?Really CCM? Really....?Hahahaaaa.......daaaaah.
Mbaya wantaka tumia dola kutulazimisha hizi funza..Magufuli ni nyapara/kihere here sio thinker let alot good coordinator, asha ni km kasuku na yule wa zenj ni km kaja bahati mbaya na kuzuga.
 
Magufuli ni msafi hana kashfa .Nenda kasome ripoti CAG mwaka huu bilioni 262 za wizara ya ujenzi hazijulikani zimeenda wapi huko ccm wote ni mafisadi hakuna msafi .Dr Slaa ndo kiboko ya mafisadi mtahama nchi subirini
Hiyo hiyo ripoti ya CAG nenda kaisoma ruzuku ya Chadema wamekula kina Slaa na Mbowe hesabu zake hazieleweki.

Double standard.

Teh teh teh
 
wakuu hizi TETESI kuwa eti Kingunge kaandaa kundi la popobawa liwashughulikie wapinzani wa lowasa ni kweli ?
 
Kuna mchezo unaenda kufanyika usiku huu ambao ni wa hatari sana, Lowasa sio mtu wa kumpa nafasi

Kuna uwezekano mkubwa magufuli ndo kwishnei...ingaweje kwa mtizamo wangu alishakuwa kwishney....ila wametoa room ya kummaliza vzuri zaidi...ebu tusubiri kesho saa nne asubuhi tuone..
 
Hiyo hiyo ripoti ya CAG nenda kaisoma ruzuku ya Chadema wamekula kina Slaa na Mbowe hesabu zake hazieleweki.

Double standard.

Teh teh teh

Ritz kwanini unawachukia wakina slaa na mbowe
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha Sana Rais bora alikua Membe au Lowassa lakini wameharibiana wenyewe, kati ya hao watatu Mungu ndio anajua...lakin sidhani kama ni presidential material.
 
Back
Top Bottom