Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sijui wanaompenda wakina nan maana uku kwetu kila mtu amefurai yeye kukatwa....team lowasa zeeeeeee
 

Pasco umeongea ukweli ccm kupigwa chini halina ubishi hata wenyewe wanatambua vipi safari ya matumaini inaendelea ?nakumbuka ulisema Lowasa ni raisi iwe kwa ccm au nje ya ccm .
 
Last edited by a moderator:
Kweli asili haipotei,maCCM yanajichakachukulia hata viuchaguzi vyao,au Ndio rehearsal ya kuiba kura October??!
 

MKUU TULIA DAWA UKIENGIEE...

Dr. Magufuli akipita ... Hamna chenu UKAWA .. tena kura zitazidi kupungua....
 
Zako hazitoshi kutwa akili..unaweza kuwa uan kitu km ubongo ila si lazima kiwe ni ubongo unaofanya kazi..kinaweza kuwa ni material ya kujaza hiyo nafasi ya wazi.Hata nikilewa siwezi kuw akenge kmw aswahili.Hii mizaha mnafanya kama ilivyokuwa bungeni ni wazi hamjui nini mnafanya..na waswahili hawatakuwa na dhamani..bahati mbaya watz wamewapa kila funguo waswhaili ndio wawapangie.Hitler wa nini...watz wanahitaji kuondoa upuuzi ktk media na polisi na usalama.Waswahili wakajilize huko uswazi km njaa zinauma wamepewe kula hata km hawajalipa kodi.Ujinga mnaendekeza halafu mnaleta habari ndeefu sana.Lowasa alileta ujinga wa waswazi akajidai na yeye si wa kaskazii ..sasa akatulizane na masaai wenzie huko losliondo..Na ccm sasa ndipo itaface reality kwanini waswahili siku zote ni wa hovyo na selection zao.Anatuletea nypara akidhani kwamba kuw akiherekehere ndiko kunasema ufanisi,utendani na uwezo wa kuratibu mambo....this is a goddamn lunatic plan.
 
Kuna mchezo unaenda kufanyika usiku huu ambao ni wa hatari sana, Lowasa sio mtu wa kumpa nafasi
 
Magufuli anaweza moto wa Dr.Slaa?
Dr.Slaa ana moto gani? CCM hata wangemsimamisha Mzee Majuto bado angemtupa mbali Dr.Slaa achilia mbali Dr.Magufuli.

Sasa Dr.Slaa zile drama zake za orodha ya mafisadi hamna tena.
 
MKUU TULIA DAWA UKIENGIEE...

Dr. Magufuli akipita ... Hamna chenu UKAWA .. tena kura zitazidi kupungua....
Ukimya wa Lowasa utaipasua ccm vipande-vipande arusha sombetini tumeshapokea wanachama 200 wa team ya Lowasa wamehamia Chadema leo bado monduli kesho kimeshanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…