Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Bavicha hoi...padri kapingwa na CUF na NCCR....
 
acha kuogopa wewe lowasa amekomaa kisiasa kura zake kazielekeza kwa magufur by the way hasira zake zilikuwa kwa membe tu

Naona sasa umeanza kuona umuhimu wa Lowasa.

Ila umechelewa ndugu, Lowasa sio mwepesi kama huyo mfalme wenu yule ni mzee wa maamuzi magumu na mahesabu makali. Mnafikiri mmemweza baada ya kumfanyia fitina kumkata kwenye kamati ya Ushauri/maadili?

Sasa ndio kwanza gemu imeanza na kama mlikuwa hujui jamaa kajipanga kinoma yani ana plan A mpaka Z.

Teh! teh! teheee!!!!

Wacha niche miye kijukuu cha Sambai maana picha ndio inaanza yani kabla ya kuingiza timu uwanjani mmeshaanza kulaumiana na mkiingiza kila mmoja anataka kusababisha penati huku wengine wakitaka kujifunga kocha nae anamtoa kila mchezaji.

Time will tell
 
Zamu ta Wakatoriki ndg (hiden ajenda). Hongera kwa kujifariji.

Mama Mwenyewe naona kama mweupe kichwani. Kabebwa tu na jina la baba yake.

Haya mambo ya udini siyapendi.hivi kwa mfano akitokea Amina Ally kuteuliwa na ccm kugombea urais hiyo kauli yako utaifuta ama?
 
lowassa hatafanya lolote usijidanganye,anaomba Amina awe mgombea urais ili amteue kuwa mgombea mwenza.zaid ya hapo hana jengine
 
lowassa hatafanya lolote usijidanganye,anaomba Amina awe mgombea urais ili amteue kuwa mgombea mwenza.zaid ya hapo hana jengine

mgombea mwenza kwan huchaguliwa na mgombea au chama nisaidie lakin mimi najua lowasa alishasema hawez kuhama ccm hata alivyokuja kuomba udhamin mkoa wasimiyu kwenye kikao na wafanyabiashara aliulizwa ikitokea kikwete amekukata utahama chama ili tujiandae kukufata jamaa alikasirika sana naakasema hawezi kuhama na haitatokea sasa tusubil kuona
 
Jamii forums limekuwa jukwaa la umbea km Facebook. Badala ya kuweka feedbacks, wanaongelea mambo mengi ambayo hayapo.Wakati mwingine badala ya kuandika bora uwe unasubiri mpaka upate uhakika wa hiyo habari kwanza.
 
Kwa uteuzi huu wa CCM kwa kumpitisha Magufuli hakika nakuambia UKAWA lazima wagawane mikeka.

Natamani kusikia nasaha za ocampo four

Mkuu usijidanganye.

Kuongoza nchi inataka Hekima na busara za hali ya juu ukisaidiwa kwa karibu sana na Roho wa Mungu.

Amini nakwambia hivyo vitu huyo mkandarasi hana, alichonacho ni misifa na kiburi.

Na zaidi ningependa ujue kuwa kulingana na Katiba yetu kauli ya Raisi ni sheria inapaswa kutekelezwa na hapingwi hata mahakamani.

Sasa imagine huyo mkandarasi anavyopenda sifa na kiburi kilivyomtawala ataiweza nchi.

Cha pili nikwambie tu, Huyo mkandarasi in nature ni bonge la mshamba sasa sijui kama nchi itasonga .

N tatu nimalizie kwa kusema, Kama huyo mkandarasi atapewa nchi (japo ni jambo la kusadikika) Migomo itatamalaki kila maali kutokana na element za Kiburi/majidai/zarau na ushamba alionao. Zaidi jamaa ni mkabila kinoma. Mark my word
 
Jamii forums limekuwa jukwaa la umbea km Facebook. Badala ya kuweka feedbacks, wanaongelea mambo mengi ambayo hayapo.Wakati mwingine badala ya kuandika bora uwe unasubiri mpaka upate uhakika wa hiyo habari kwanza.

Ongea we ueleweke
 
Mkuu nadhani humfahamu vizuri Dr. Magufuli, hayo unayoyasema nadhani umeambiwa tu ama unayasikia toka kwenye mitandao. Kwanza mkandarasi maana yake ni hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…