Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu usijidanganye.

Kuongoza nchi inataka Hekima na busara za hali ya juu ukisaidiwa kwa karibu sana na Roho wa Mungu.

Amini nakwambia hivyo vitu huyo mkandarasi hana, alichonacho ni misifa na kiburi.

Na zaidi ningependa ujue kuwa kulingana na Katiba yetu kauli ya Raisi ni sheria inapaswa kutekelezwa na hapingwi hata mahakamani.

Sasa imagine huyo mkandarasi anavyopenda sifa na kiburi kilivyomtawala ataiweza nchi.

Cha pili nikwambie tu, Huyo mkandarasi in nature ni bonge la mshamba sasa sijui kama nchi itasonga .

N tatu nimalizie kwa kusema, Kama huyo mkandarasi atapewa nchi (japo ni jambo la kusadikika) Migomo itatamalaki kila maali kutokana na element za Kiburi/majidai/zarau na ushamba alionao. Zaidi jamaa ni mkabila kinoma. Mark my word

Jamaa ni mkabila lakini pia ni fisadi..pale kwao lubabangwe kajenga nyumba zaidi ya 60 kawapingisha viongozi wote wa wilayani..pia kajimegemea eneo kubwa kaweza uzio..kajamaa ni kafisadi tunakajua
 
Mkuu usijidanganye.

Kuongoza nchi inataka Hekima na busara za hali ya juu ukisaidiwa kwa karibu sana na Roho wa Mungu.

Amini nakwambia hivyo vitu huyo mkandarasi hana, alichonacho ni misifa na kiburi.

Na zaidi ningependa ujue kuwa kulingana na Katiba yetu kauli ya Raisi ni sheria inapaswa kutekelezwa na hapingwi hata mahakamani.

Sasa imagine huyo mkandarasi anavyopenda sifa na kiburi kilivyomtawala ataiweza nchi.

Cha pili nikwambie tu, Huyo mkandarasi in nature ni bonge la mshamba sasa sijui kama nchi itasonga .

N tatu nimalizie kwa kusema, Kama huyo mkandarasi atapewa nchi (japo ni jambo la kusadikika) Migomo itatamalaki kila maali kutokana na element za Kiburi/majidai/zarau na ushamba alionao. Zaidi jamaa ni mkabila kinoma. Mark my word

Muda haupo Wa kumchafua jamaa lipo sawaa
 
Na mimi nichangie kidogo mchango wangu uwekwe kwenye anserd Magufuri ni mtu anafanya kazi balaa
 
Ukawa washachukua nchi... hii naapa.. iko wazi, Magufuli hana nyota ya kupendwa sana..

Yaani Dr. Slaa au Lowassa akiamua kugombea kupitia chama chochote, URAIS KWAO NI LAZIMA...!!!!

Lowassa akigombea CCM kwisha kazi yake, sbb wamemuonea sana... na najua ata react tu... CCM inakufa kabla ya Oct 25
 
Mkuu nadhani humfahamu vizuri Dr. Magufuli, hayo unayoyasema nadhani umeambiwa tu ama unayasikia toka kwenye mitandao. Kwanza mkandarasi maana yake ni hapo?

Mkuu Kimbunga kwanza ungetulia kisha unisome tena.

Jama namwelewa kwa kiasi fulani. Labda nikuulize jambo Je! unajua ni wizara gani hupangiwa bajeti kubwa ukiachana na Tamisemi?

Je! Ulishajiuliza ni kwanini mkandarasi alifeli pale tu alipobadilishiwa wizara na kupelekwa kwenye uvuvi?

Je! umeshajiuliza ni kwanini jama alishawai kupingwa na waziri mkuu (pinda) akiwa anatekeleza majukumu yake?

Je! unakumbuka ni jinsi gani mkandarasi alivyokuwa akimsifia jk kwenye mikutano/sherehe za kitaifa na hicho ndicho kilichomshawishi JK kumbeba na kumfikisha hapa?

Ninachosema ni kwamba ndani ya ccm kuna viongozi wazuri ila hawapewi nafasi sifa ya kuwa kiongozi ndani ya ccm kwanza ni uakikishe utalinda masilahi yawakubwa kwanza.
 
Vita vya panzi, naona panz wanazidi kuchoshana, lakini pia namwona mwewe(ukawa) kando yao akiwasubiri wachoshane zaidi ili awanyakue wote kiulaini october 25
 
kwa hii 3 bora ni waz ukawa njia ni nyeupe

Aisee! Tuwe wakweli, endapo atapita Magufuli Ukawa kazi itakuwa ngumu zaidi. Huyu ndiye mtu anakubalika ktk sisiemu na pia upinzani, Halima Mdee mwenyewe analijua hilo, anamwitaga Magufuli Jembe.
Yule mmama Amina ni kitendawili hamna anayemjua na Migiro tunajua madudu yake!
 
Mkuu Kimbunga kwanza ungetulia kisha unisome tena.

Jama namwelewa kwa kiasi fulani. Labda nikuulize jambo Je! unajua ni wizara gani hupangiwa bajeti kubwa ukiachana na Tamisemi?

Je! Ulishajiuliza ni kwanini mkandarasi alifeli pale tu alipobadilishiwa wizara na kupelekwa kwenye uvuvi?

Je! umeshajiuliza ni kwanini jama alishawai kupingwa na waziri mkuu (pinda) akiwa anatekeleza majukumu yake?

Je! unakumbuka ni jinsi gani mkandarasi alivyokuwa akimsifia jk kwenye mikutano/sherehe za kitaifa na hicho ndicho kilichomshawishi JK kumbeba na kumfikisha hapa?

Ninachosema ni kwamba ndani ya ccm kuna viongozi wazuri ila hawapewi nafasi sifa ya kuwa kiongozi ndani ya ccm kwanza ni uakikishe utalinda masilahi yawakubwa kwanza.

hata ujitahidije kumchafua magufur huyo ndiye rais ajaye eti unazuga mshamba ulikuwa nae wapi kakuonesha ushamba au alishaku ..... hadi ukamwona mshamba ,nyie mnamalaya wa siasa waliotaka ubunge wa ccm wakaukosa nawakakimbilia chadomo hadi leo wanalipwa kama wabunge yote hayo siyo kutaka hera? huna jipya lakumchafua huyu bwana mnajitahidi nakutaman lowasa ahame ili nanyi muona angalau nafuu hata iwe hivyo mtapigwa tu
 
mkuu nakubaliana na wewe ila hyo ya jk kumbeba na kumfikisha tatu bora cyo sawa, kilichotokea kweny tatu bora hakikutarajiwa, choice za jk zilikuwa mbili tu.
jaji augustino
bernard membe
karata zake zmeshndikana kutokana na mvutano wa kimakundi,mpaka kutokea kundi moja kupiga kura za kukomoa na tusishangae tukampata mshindi tusiemtarajia, mpaka saiv CCM ni SHOCK
 
Back
Top Bottom