Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usijidanganye.
Kuongoza nchi inataka Hekima na busara za hali ya juu ukisaidiwa kwa karibu sana na Roho wa Mungu.
Amini nakwambia hivyo vitu huyo mkandarasi hana, alichonacho ni misifa na kiburi.
Na zaidi ningependa ujue kuwa kulingana na Katiba yetu kauli ya Raisi ni sheria inapaswa kutekelezwa na hapingwi hata mahakamani.
Sasa imagine huyo mkandarasi anavyopenda sifa na kiburi kilivyomtawala ataiweza nchi.
Cha pili nikwambie tu, Huyo mkandarasi in nature ni bonge la mshamba sasa sijui kama nchi itasonga .
N tatu nimalizie kwa kusema, Kama huyo mkandarasi atapewa nchi (japo ni jambo la kusadikika) Migomo itatamalaki kila maali kutokana na element za Kiburi/majidai/zarau na ushamba alionao. Zaidi jamaa ni mkabila kinoma. Mark my word
Magufr anapita kweli?
Tutakutana Oktoba.acha kuogopa wewe lowasa amekomaa kisiasa kura zake kazielekeza kwa magufur by the way hasira zake zilikuwa kwa membe tu
Ndio sasa utambue ya kuwa Mungu ametusaidia na yawezekana Magufuli akaitendea haki nchi yetu kwani tumelia kwa muda mrefukmkuu nakubaliana na wewe ila hyo ya jk kumbeba na kumfikisha tatu bora cyo sawa, kilichotokea kweny tatu bora hakikutarajiwa, choice za jk zilikuwa mbili tu.
jaji augustino
bernard membe
karata zake zmeshndikana kutokana na mvutano wa kimakundi,mpaka kutokea kundi moja kupiga kura za kukomoa na tusishangae tukampata mshindi tusiemtarajia, mpaka saiv CCM ni SHOCK
Developing News:
Magufuli kura 1560.
Migiro kura 702.
Amina kura 349.
í-½í±½From: Source in the Kitchen.
Officially John Pombe Magufuli is a presidential candidate for CCM.
wizara ya ujenzi inalipa hamani......ndio.maana.nkashangaa lukuvi kaanza lini mahusiano ya bd gd na. Magufuli??
TATIANA wewe unawaonaje hawa 3candidates wana meet criteria za kuwa Rais mwakilishi wa Jamhuri Yetu kweli?
Tatizo naloliona hawa viongozi wetu wengi wao wanabweteka sana na hatimae kuwa nyuma kwa masuala mengi sana ambayo yangewapambanua kwamba wao ni viongozi wenye uelewa mtambuka! Wengi wapo too local na takwimu za kijinga jinga tuu!
Katika Nchi hii wapo wanasiasa wachache sana wenye vision ya kimataifa ktk kuiwakilisha Nchi yetu. Na hapa naomba nimpe credit mtu kama Zitto, Prof Lipumba, Prof Muhongo etc nafikiri ushanielewa naongelea watu wa kariba gani mkuu tatiana. Japo wengine wanavurugwa na mafisadi, mtu km zitto km angesettle kiukweli angefika mbali sana ila ndo hivyo basi tena!!
Maybe John Mnyika na "Tumbili bado wana bear hiyo status kinachotakiwa waendelee kupiga msuli tu!
hata ujitahidije kumchafua magufur huyo ndiye rais ajaye eti unazuga mshamba ulikuwa nae wapi kakuonesha ushamba au alishaku ..... hadi ukamwona mshamba ,nyie mnamalaya wa siasa waliotaka ubunge wa ccm wakaukosa nawakakimbilia chadomo hadi leo wanalipwa kama wabunge yote hayo siyo kutaka hera? huna jipya lakumchafua huyu bwana mnajitahidi nakutaman lowasa ahame ili nanyi muona angalau nafuu hata iwe hivyo mtapigwa tu
geita inatoa raisi
Wewe Kwel mwehu... Magufuli ni mwalimu wa Hesabu & Chemia..
Hajawahi kuwa Eng.