Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mkuu usijidanganye.
Kuongoza nchi inataka Hekima na busara za hali ya juu ukisaidiwa kwa karibu sana na Roho wa Mungu.
Amini nakwambia hivyo vitu huyo mkandarasi hana, alichonacho ni misifa na kiburi.
Na zaidi ningependa ujue kuwa kulingana na Katiba yetu kauli ya Raisi ni sheria inapaswa kutekelezwa na hapingwi hata mahakamani.
Sasa imagine huyo mkandarasi anavyopenda sifa na kiburi kilivyomtawala ataiweza nchi.
Cha pili nikwambie tu, Huyo mkandarasi in nature ni bonge la mshamba sasa sijui kama nchi itasonga .
N tatu nimalizie kwa kusema, Kama huyo mkandarasi atapewa nchi (japo ni jambo la kusadikika) Migomo itatamalaki kila maali kutokana na element za Kiburi/majidai/zarau na ushamba alionao. Zaidi jamaa ni mkabila kinoma. Mark my word
Jamaa ni mkabila lakini pia ni fisadi..pale kwao lubabangwe kajenga nyumba zaidi ya 60 kawapingisha viongozi wote wa wilayani..pia kajimegemea eneo kubwa kaweza uzio..kajamaa ni kafisadi tunakajua