Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais



Wewe Kwel mwehu... Magufuli ni mwalimu wa Hesabu & Chemia..

Hajawahi kuwa Eng.
 
Magufr anapita kweli?

Zinaweza fanyika njama asipitishwe akapita mmoja wa wale MADEMU.
Afadhali kuongozwa na demu wa bara maana wana kaujanja na uchangamfu fulani hata kama wengi wao vichwani ni mashudu kuliko demu wa zenji, wanaume wao wamezubaa sipati picha wanawake wao wanaowatawala wako vipi.
 
Developing News:

Magufuli kura 1560.

Migiro kura 702.

Amina kura 349.
í-½í±½From: Source in the Kitchen.

Officially John Pombe Magufuli is a presidential candidate for CCM.
 
Wizara ya ujenzi inalipa hamani......ndio.maana.nkashangaa lukuvi kaanza lini mahusiano ya bd gd na. Magufuli??
 
Ndio sasa utambue ya kuwa Mungu ametusaidia na yawezekana Magufuli akaitendea haki nchi yetu kwani tumelia kwa muda mrefuk
 
Ccm kwana MTU badae yeyote atakayepita ndio Rais wa nchi hii endeleeni kupoteza mda wenu
 

Ok sasa nimekupata ulichokuwa unamaanisha kwenye ile post... Unachoongea ni sahihi kabisa. Wanasiasa wa aina hiyo kwa Tz mmmh ni ndoto
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, ni bora ukapunguza miemko ili uweze kuwasilisha hoja.

Ninacho jaribu kuonyesha hapa ni kwamba, ccm hamjui nani anayeitajika kwenye Taifa hili ninyi mnachoangalia ni nani atakayewabeba wafalme wenu na kuficha siri zao.

Ni lazima nimjadili yoyote yule atakayepitishwa na chamama chochote kile ili agombanie uraisi wa nchi yangu.

Kwani atakayepita ni9 lazima atakuwa Raisi wangu ata kama sikumchagua.

Hivyo ninaposema Magufulli ni mkabila/mshamba/anadharahu/kiburi namaanisha kweli kwasababu nataka watanzania wapime na kuiakikisha hatuongozwi na watu wa aina hiyo.
 
Wewe Kwel mwehu... Magufuli ni mwalimu wa Hesabu & Chemia..

Hajawahi kuwa Eng.

Kwani ungeondoa neno la kuniita "Mwehu" ungepata hasara gani?

Any way umeonyesha ni namna gani wazazi wako walivyo (mtoto umleavyo ndivyo akuavyo)

Kwani Engineer husomea masomo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…