Aisee! Tuwe wakweli, endapo atapita Magufuli Ukawa kazi itakuwa ngumu zaidi. Huyu ndiye mtu anakubalika ktk sisiemu na pia upinzani, Halima Mdee mwenyewe analijua hilo, anamwitaga Magufuli Jembe.
Yule mmama Amina ni kitendawili hamna anayemjua na Migiro tunajua madudu yake!
unahisi n michepukoyako ya sinzaa...hahahaaunaruhusiwa kumpigia mtu zaidi ya mmoja kama sijakosea
Lengo la UKAWA halikuwa hili wanalofanya sasa na hawatafanikiwa. Warudi kwenye KATIBA. Kutoa mgombea mmoja watakuwa wameirahisishia sana CCM.WildCard,
Naona umeishampitisha kabisa Dr.Magufuli, vipi UKAWA hawawezi kuchukuwa dola na kuunda cabinet.
Mmeunda chama kingine au mmehama? Idadi kamili ya wajumbe ilikuwa ngapi?Usishangae......hahahaha!
kama ukawa watashindwa bora achukuwe mzee pombe
Hahaha Michepuko ooyeeee! Wasichana wa UDSM mtafaidi mpaka kufa maana Shemegi atakua Raisi wa nchi, endapo UKAWA watachemka. Wale wa mabibo alikua anakuja usiku sasa atakuja mchana kweupe. Ulipokua waziri watoto walikiona cha mtema kuni, sasa unataka kua raisi.. Tanzania nzima yako dah
Siamini
Ndio sasa utambue ya kuwa Mungu ametusaidia na yawezekana Magufuli akaitendea haki nchi yetu kwani tumelia kwa muda mrefuk
ndiyo mzee.. wamempigia kura ya kauli...