Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Hiyo no 1 ntaifanyia kaz kidogo afu kuanzia 2 hadi mwisho umeungaunga sna no 5 na 8 zimempaisha kodgo maana ndio watu tunaowataka hao.
 
Ni kweli usiopingika UKAWA watakuwa hali ngumu lakini ACT ndio kwishney!!
Usiseme kazi ngumu bali sema 'watakuwa na kazi'.
Kama ataweza kufafanua juu ya uuzwaji wa nyumba za serikali kwa washirika then anatumia pesa za umma kujenga zingine kwa gharama kubwa zaidi. Alafu atueleze anasimamia wapi kati ya Katiba ya Chenge/Sitta na ile ya mh. Joseph Warioba. Kwa hakika hawezi hapo!
Na wakimleta dr. Migilo basi atueleze alipata wapi ujasiri kama waziri wa sheria kuleta muswada wa gesi kwa hati ya dharula na kuupitisha siku hiyo hiyo. Hapo ni bila kumuuliza under-performance huko UN.
Katika ufisadi CCM hawaaminiki, asikudanganye mtu.
R.I.P Mwalimu ...viva Ukawa

 
Habari members.
Mimi ni mchanga sana katika tasnia ya SIASA naomba kujuzwa jambo kuhusu Dr Migiro,ndio migiro wa UN?km ndio aliondokaje UN,alimaliza muda wake au la? Maana nahisi kuvutiwa na hii filamu naamini itakuwa tamu kuliko sehemu ya kwanza(miaka 5)
Naomba kujuzwa kwa upole maana nilikuwa naiangalia kwa juujuu lakini nimevutiwa nataka kuingia mzimamzima.
Ahsanteni.
 

Hatuhitaji Rais mwenye ujuzi wa Communication Skills, bali tunahitaji rais mchapakazi, jasiri asiyeogopa sura ya mtu katika kukemea maovu, rais atakayeweza kuikataa rushwa na kukomeza ufisadi, rais atakayeweza kuhakikisha raslimali za nchi yetu zinatumika kwa manufaa ya nchi hii, asiye mbinafsi.

Hata kama rais atakuwa bubu, lakini anavigezo nilivyotaja hapo juu, ni sawa tu. Hatutaki rais anayeongea maneno matamu, lakini utendaji kazi ni bure kabisa. Tunataka rais wa vitendo zaidi na sio uwezo wa kujieleza mbele za watu.
 
magufuli haongeki na hana mchezo mtaishia jela kwa ufisadi

Rais mwenye uthubutu wa ivo hawezi kutoka ccm kamwe kaa ukijua, ccm hata uwe msaf vp mfumo utakushape tu uendane nao...hakuna jipya ccm watanzania tuamkeni jaman..
 
Team Lowasa wanangoja tu UKAWA watangaze mgombea wao. Wameapa kuwadhibitishia waliomkata EL kuwa wamefanya kosa kubwa! Bila EL hakuna CCM kushinda! Watamuunga mkono mgombea wa UKAWA kwa nguvu zote!!!!

magufuri is wisely,
he needs support from lowassa!
to win the election easly,,.
 

Simple like this:

Alishindwa ku perform UN

Nikukumbushe kule UN alipelekwa na JK

Lengo lake aje amrithishe kiti.

JK kasahau kuwa there are mafia behind the political game.

Wana njaa na kiti mbaya. JK kajifanya anaweza kutumia urais na uenyekiti wake

wa chama kumpitisha. Tunamchora mtu!

Siku ikafika, akamleta. Tukala kichwa!

Kimsingi alikuja na option tatu. Membe, Asha na January. Wote tukawala!

Mwishowe JK analilia, tukamwambia tulia, unalia nini mbona mchezo bado!?

Tukampaisha John Magufuli. Kwa sasa tunamcheki kama swala, sisi ni chetah.

Mkononi tumebeba 'world order'. Lazima magufuli apewe. Na atapewa!

Time will tell.

Ni hayo tu kuhusu Asha!
 

Okei, turudi sasa kwenye kujenga taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…