Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Upo sahihi kabisa mkuu mi ukawa kura yangu inaenda kwa magufuli mbunge ndo ntampa wa ukawa..namkubali sana magufuli
 
Mimi nimefurahi tu lowasa hata reserve hakuwepo

Hunishindi mimi. Huyu jamaa kwa kweli wamemuweza.CCM sasa itakuwa na heshima yake. Imerudi kuwa chama cha wanyonge. Fisadi alibaki kutoa mimacho tu. Au sijui ule ugonjwa ndo unamfanya vile, anakuwa kama robot. Akili na mwili haviendani!!
 
Wizara ya ujenzi inalipa hamani......ndio.maana.nkashangaa lukuvi kaanza lini mahusiano ya bd gd na. Magufuli??

Ila kweli jana nilishangaa sana jinsi Lukuvi alivyokuwa bega kwa bega na Magufuli.
 

Kwa taarifa yako, ile top 5 iliyopitishwa na CC ni watu wa JK. Na bado ataendelea kuwaendesha tu.
 
Yani hiki chama nichamajungu na uzushiuzushi tu.

Toka jana mnasema sijui Makufuli ndio kapitishwa lakini mpaka sasa hakuna uthibitisho!

Sasa si mumutangaze huyo mkandarasi wenu kuwa ndie atakae pambana na Simba wa Yuda/Raisi wa mioyo ya Watanzani/Kamanda/Mteule/Mpakwa mafuta/Mkombozi Dr. Willbroad Mwana wa Slaa TUMAINI LA WALIOKATA TAMAA
 
Magufuli si mtu wa JK wala Lowasa, subiri aapishwe muone pale ni kazi kwa kuzingatia taratibu, si ni huyu huyu JK na Pinda walikuwa wanamuingilia kwenye majukumu yake kwa sababu tu ya siasa wananchi wasichukie

Halafu pana watu hap wanataka kutuaminisha eti ni mtu wa Kikwete.Unakumbuka kipindi kile wanamfrustrate akitoa maamuzi ya kubomoa wanamzodoa mchana kweupe! Kikwete na familia yake wanaugulia kwa sana tu kitendo cha Membe na Migiro kushindwa.
 
Na mambo ya ikulu mara leo kaenda diamond kesho Ruge yataisha

Nawaza Clouds kwenda kuandaa Birthday za Rais,maana Magufuli si mtu wa kushobokea hizo birthday,au sasa watakuwa wanakwenda Msoga!
 

Achana nao binadamu hata ufanyeje hawaridhiki ..watu kama hawa dawa yao ni magufuli ndo anawafaa wataridhika tu..go magufuli
 
John pombe mbona ni mzungumzaji mzuri tu...
Sema tu labda pengine kwa sababu ilikuwa ni very sudden na pengine "hakutarajia" kwamba angelifikia hatua hiyo kutokana na ushindani uliokuwepo so hakuwa na muda wa kutosha kujipanga kuzungumza kwa wakati huo....
 
Sawa yote mipango ya Mungu je mmejiandaa vipi kisaikolojia niliuliza hili swali!https://www.jamiiforums.com/uchaguz...e-lowasa-jina-lisipo-rudi-2.html#post13259158
 
Tatizo la Magufuri ni mkurupukaji anatoa maamuzi bila kuangalia negative effects mfano kuvunja shell kule Mwanza na Meli ya wachina na kuna wakandarasi kibao alivunja mikataba bila kufuata mwisho wa siku serikali inaliwalipa fidia.

Poa tu ilimradi discpline iwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…