Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Apunguze mihemko na mijaziba isiyo na msingi kuwa raisi si jambo dogo. Kule alizoea command ila huku kwingine inabidi ajitafakari na awe na hekima kabla ya kuzungumza.
Diva Beyonce.Team LOWASA mna mihasira khaa! ( joking). BTW i miss you.
 
Last edited by a moderator:

Huko UN alichemka naskia wakamtimua! hapo kwenye blue pana kitu kizito embu ongezea hapa nyama!
 

Hayatuhusuuu.
 
Jamani, hatutegemei kumpata malaika kugombea, kila mtu atakua na mapungufu yake! Kwa hawa tuwaombee Mungu tu ili awaongoze ktk kutoa maamuzi!
 
Hunishindi mimi. Huyu jamaa kwa kweli wamemuweza.CCM sasa itakuwa na heshima yake. Imerudi kuwa chama cha wanyonge. Fisadi alibaki kutoa mimacho tu. Au sijui ule ugonjwa ndo unamfanya vile, anakuwa kama robot. Akili na mwili haviendani!!

Ha ha aliapa hata juu ya machela ataingia ikulu
 
Hivi Magufuli ndiye aliyetumia nafasi yake kama Waziri wa Ujenzi/barabara kuweka traffic lights kijijini kwake? Inaonekana huyu jamaa ni mshamba sana.
 

Attachments

  • Taa Chato.jpg
    43.6 KB · Views: 109

Matokeo halisi ya kura za wagombea kuto Mkutano Mkuu ni:

▶Mh. John Magufuli 87%,
▶Balozi Amina Ali 10%,
▶Dk.Asha Migiro 3%

 
Magufuli hata ofisini kwake hataki wageni, sasa nyinyi mliozoea kwenda ikulu kama chooni kwenu mlijue hilo.
 
Eeeeeh!
Nape anakung'uta gitaaa! Nimemuona ktk luninga kaunga tela na TOT jukwaani.
 
Naona kila anayesimama kuongea anawaponda mafisadi. Kumbe walikuwa wanakula tu fedha zao lakini kura hawaampa fisadi mkuu
 
Apunguze mihemko na mijaziba isiyo na msingi kuwa raisi si jambo dogo. Kule alizoea command ila huku kwingine inabidi ajitafakari na awe na hekima kabla ya kuzungumza.

Lazima ajirekebishe hapo. Sasa inabidi awe mwanasiasa, na sio chemist. Aanze kujifunza cheusi kuita cha njano. Teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…