Simple like this:
Alishindwa ku perform UN
Nikukumbushe kule UN alipelekwa na JK
Lengo lake aje amrithishe kiti.
JK kasahau kuwa there are mafia behind the political game.
Wana njaa na kiti mbaya. JK kajifanya anaweza kutumia urais na uenyekiti wake
wa chama kumpitisha. Tunamchora mtu!
Siku ikafika, akamleta. Tukala kichwa!
Kimsingi alikuja na option tatu. Membe, Asha na January. Wote tukawala!
Mwishowe JK analilia, tukamwambia tulia, unalia nini mbona mchezo bado!?
Tukampaisha John Magufuli. Kwa sasa tunamcheki kama swala, sisi ni chetah.
Mkononi tumebeba 'world order'. Lazima magufuli apewe. Na atapewa!
Time will tell.
Ni hayo tu kuhusu Asha!