Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Nimekuuliza ni nani katika ccm hayafanyi? usimnyooshee kidole kimoja wakati wapo wengi wachafu kuliko yeye na wanawahonga pesa kibao. Bilali mbona ana wake wawili mbona humsemi!?? hakuna msafi ndani ya ccm professionally and ethically. kama unamponda magufuli mtaje mmoja aliyesafi zaidi yake anayefaa.
 

Hata JK alipoingia mwaka 2005 walimsifia mno. Magufuli akishakuwa Rais na akaanza mambo yake, wataanza kulalamika hawa. Kazi yetu itakuwa kuwakumbusha. Watu wamesahau kabisa kwamba tatizo si nani anagombea. Bali jumba zima linaloitwa CCM. Kwani Magufuli akiwa Rais atafanya kazi na nani? Si hawahawa kina Hawa Ghasia, Mwigulu, Makamba, Sophia Simba, Nagu etc.? Je, kwa kuwa networks za wezi na incompetency iko supported na CCM machinery itakayomweka madarakani, atawezaje kuvunja hizo networks and to break hegemony? Naamini, voters will be well advised to vote CCM out regardless of who the presidential candidate is.
 
napingana na wewe kwa nguvu zote eti Kikwete alionewa aibu. ukweli ni kwamba hata mkapa hakumshinda Kikwete na yeye mwenyewe analijua hilo kama sio nyerere basi urais kipindi kile kilikuwa cha kikwete. acheni kupindisha ukweli eti alionewa huruma wakati kura hata 1995 zilitosha.

 
Aiseeee...kufumba na kufumbua CCM imekua moja, nyuma ya mgombea mmoja. Shkamoo ccm!!!
Sasa lazima nkubali kua mission ya UKAWA kushika nchi imekua next to impossible, maana hamna namna nyingine sasa
 

Bilali ni Muslim afu Ana wake wives yaani sio mistress sasa kama amna wasafi alternative hazijaisha bado tuna ukawa tuwape ao atuwezi kujigeuza lab rats et tufanyiwe majaribio ii ni nchi sio maabara
 
Kwa uteuzi huu wa CCM kwa kumpitisha Magufuli hakika nakuambia UKAWA lazima wagawane mikeka.

Natamani kusikia nasaha za ocampo four

ocampo four jana nilikutana nae NAM hotel hapa dom akihaha jinsi gani atarudi kwao maana akaunti na 4u yote anayo Bashe ambaye amechanganyikiwa kiasi cha kushindwa kupatikananika.
 
Last edited by a moderator:

Nakupa tano mkuu. Kwani ni wapi imeandikwa kuwa mtumishi wa umma ni lazima awe maskini. Unakuta mko ofisi moja but mna financial approach tofauti. Wewe unaejishughulisha kwa kutumia muda wako vizuri pamoja na kuanzisha shughuli ndogo ndogo nje ya ajira na nje ya muda wa kazi ikiwemo kuwa na nidhamu na matumizi ya fedha unayoipata, ukijenga tu, inakuwa nongwa.
 
 
...kwa uwezo mdogo walionesha hao wagombea ktk kujieleza sidhani kama ccm itakubali kushiriki kwenye mdaharo wowote...
 

Unaufahamu mshahara wa Magufuli? Kama huufahamu, utafute halafu linganisha huo mshahara na nyumba 60. Then, rudia kupost tena kwamba "nyumba 60 si ufisadi bali kuweka mali wazi", "Nyumba 60 ni kawaida kwake". Na nyumba 60 ni za nini? Kwani yeye tembo? Ukiangalia kwa makini utagundua hahitaji nyumba 60. Ni ushamba tu.
 
WATU WALIOMZIDI LOWASSA UBORA..
1. Mwanamke Balozi Amina Salim Ali
2. Mwanamke AshaRose Migiro
3. Mtoto mdogo aliyeingia bungeni 2010, Kijana January Makamba
4. ....,.............. Huyu simtaji, maana hata Lowassa hakupanga kupambana nae.. 😀😀


Kiufupi, Lowassa amezidiwa mbali sana na wanawake wawili, wanawake ambao hata kujieleza walipata shida jana, lakini ndo hivyo tena..

Hivi lowassa alifikiria kupata kweli??!! 😀😀😀😀

Kwanini lakini aligombea?!!😀😀


My take: Uchaguzi huu nikiwa mzima lazima nikampe mwalimu mwenzangu wa CM kura yake moja.. Naamini itachangia kumfikisha ikulu..

Hongera kaka Magufuli, wewe ushapita, hawa wanaozidiwa uwezo na wanawake wanaingia tano bora wao hawapo mi naona zengwe tu...😀😀😀


Wanawake oyeee... Yaani CCM wamenifurahisha sana, Eti wameona ni bora wanawake wawili wasiojua kujieleza kuliko mwanaume mmoja mwizi😀😀😀😀🏃🏃🏃💨💨💨💨💨💨
 

Hapana, sio mimi ni liyesema hayo, yaliandikwa humu ndani mwezi kuwa kuna mgombea wa CCM ameongezewa Ulinzi.ilifahamika ni Magufuli.

Sasa watia nia 40 akaongezewa ulinzi mmoja kwa lipi?kiprotokali anayetoa oda za aina hiyo anafahamika. nilichofanya ni ku-connect dots backwards, mimi zio mtabiri.

usinune sana ni siasa tu. mfikie hatua mkubali you have been played.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…