Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Awe slaa awe nani uwe wewe ni we Mimi dhambi dhambi lakini ujue tu binadamu wote sio perfect na tukija in political horizon vitu vingi vinacount lazma mmoja atakuwa msafi kuliko mwingine all in all usiwe na view biased
 
Ndio pale jana kwenye maswali alitakiwa aulizwe nini kilitokea un akafanya miaka mitano wakati bank moon anaendela mpaka leo,si dhani kama angetoa jibu la kueleweka ila ukweli alishindwa kufanya vizuri,jaman alishindwa un,akipewa nchi ataweza kweli,Mungu atunusuru.
 

Unajua au unadhani kuwa construction value ya hizo nyumba ni 35,000,000? Unajua au unadhani kuwa alichukua mkopo? Anaulipaje? Na income yake yote aliitumia kujenga nyumba? Maisha yalisimama akabaki kujenga manyumba? Kipato cha 8,750,000 kwa mwezi ni cha kawaida? Unalinganisha na nini? I think we are speaking from different vantage points. Rai yangu ni tusiwe sehemu ya kutetea na kuhalalisha wizi. Kama mtu kaiba, hata kama tunampenda vipi, tujenge tabia ya kusema kaiba.
 

Umenena kwa busara
i declare interest mimi ni team lowassa lakini kwa sasa ni
CHAMA kwanza...!!!
 

Unaweza kuongezea,

Barabara ya Bwanga Chato hadi njia kuu Biharamulo Muleba imejengwa na hela zilizokuwa diverted na Magufuli kutoka Kipande cha Bwanga - Biharamulo
 
Unaweza kuongezea,

Barabara ya Bwanga Chato hadi njia kuu Biharamulo Muleba imejengwa na hela zilizokuwa diverted na Magufuli kutoka Kipande cha Bwanga - Biharamulo

mkuu ni vigumu kuwa aminisha watanzania hayo mambo..!!!
Bora ukae kimya kwa sababu sioni ukweli....!!!
 
Kambi ya LOwasa wanatetemeka kwa MAGUFULI kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm. Wengine wanampango wa kutoroka nchi. Kambi imeshavunjika kila mmoja anajiangalia mwenyewe. Lowasa anampango wa kujisalimisha kwa Kikweyte, Mwinyi na Mkapa. Joto imepanda. Kikwete NOMAAAA!!!!!!!!!!!
 
Magufuri anaweza kuwa na nia nzuri ya kuwavusha watanzania,lakini wasiwasi wangu ni mfumo atakao kutana nao akishapewa ikulu...kikwete nae alipokelewa kwa mbwebwe kama hizi..inanipa shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…