Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

We naye sijui unaongea nini? Unapata wapi courage ya kuingilia maisha binafsi ya watu na kuwasonga kisa tu wako ccm!!!?

Huyo mke wa slaa ni mke halali? Amekuwa mchumba tangu lini na ndoa ni lini?! Mbowe kazaa na nani yule viti maalumu wake!! Lipumba unamjua mke wake?!

Awe slaa awe nani uwe wewe ni we Mimi dhambi dhambi lakini ujue tu binadamu wote sio perfect na tukija in political horizon vitu vingi vinacount lazma mmoja atakuwa msafi kuliko mwingine all in all usiwe na view biased
 
Ndio pale jana kwenye maswali alitakiwa aulizwe nini kilitokea un akafanya miaka mitano wakati bank moon anaendela mpaka leo,si dhani kama angetoa jibu la kueleweka ila ukweli alishindwa kufanya vizuri,jaman alishindwa un,akipewa nchi ataweza kweli,Mungu atunusuru.
 
Kijiji cha Magufuli pale Chato kinawapa ushawishi baadhi ya watu kumuona Magufuli kama fisadi!

Hebu tujaribu kuiuliza historia na hisabati ili tuweze kumjadili vizuri. John Magufuli (JM) amekuwepo Bungeni na Serikalini tangu awamu ya 3 ya Mhe. Ben Mkapa hadi awamu hii ya 4 ya JK. Ni wazi kuwa JM amekuwepo kwenye taasisi hizo takribani tangu miaka 20 iliyopita. Nyumba 60 kila moja inaweza kuwa na construction value isiyozidi Tsh. 35,000,000/= ambapo jumla yake ni takribani 2.1 billion/-. Ukichukua 2.1billion ukawagawanya kwa miaka 20 utapata Tsh. 105,000,000/= kwa mwaka. Ukienda mbali kidogo ukagawa 105,000,000/= kwa miezi 12 utapata Tsh. 8,750,000/= kwa mwezi, kipato ambacho ni cha kawaida tu hata kwa mtu ambaye siyo mbunge wala waziri. Ikumbukwe pia kuwa Enzi za Mkapa kachukua Gratuity ya Bunge mara 2, kipindi cha Kikwete kachukua Gratuity ya Bunge mara 1 na sasa anachukua nyingine ya 2. Kiwango cha Gratuity ya Bunge unakijua vizuri. Aidha zipo fursa nyingi za mikopo kwa wale wanaoukwaa ubunge hivyo kwa mtu mwenye vision ya maisha haitamsumbua kujenga nyumba 60 kama za JM pale Chato.

Unajua au unadhani kuwa construction value ya hizo nyumba ni 35,000,000? Unajua au unadhani kuwa alichukua mkopo? Anaulipaje? Na income yake yote aliitumia kujenga nyumba? Maisha yalisimama akabaki kujenga manyumba? Kipato cha 8,750,000 kwa mwezi ni cha kawaida? Unalinganisha na nini? I think we are speaking from different vantage points. Rai yangu ni tusiwe sehemu ya kutetea na kuhalalisha wizi. Kama mtu kaiba, hata kama tunampenda vipi, tujenge tabia ya kusema kaiba.
 
Urais ni taasis mkuu usikate tamaa wewe kubali matokeo kilichopo mbele yetu ni kukubaliana na yule ataeingia magogoni na kupiga makelele anapofanya blunder hata huyo unaemfikiria nae ana mapungufu. KUMBUKA MWANADAMU NI MTU ANAEBADIRIKA NDO SIFA KUU NA NDIO MAANA KUNA RAIA WEMA WAKAWA MAJAMBAZI NA MAJAMBAZI YAKAWA RAIA WEMA. Wanzanzibar waliwahi kupiga kura za maruhani wapendwa wao walipoondolewa hivyo na kwanini team Lowasa ambao wanawakilisha hao wananchi wanaomtaka jamaa wasingeshiriki kupiga kura kwa mtu ambae anawekwa kwa ajili ya kulinda mafisadi

Umenena kwa busara
i declare interest mimi ni team lowassa lakini kwa sasa ni
CHAMA kwanza...!!!
 
Kijiji cha Magufuli pale Chato kinawapa ushawishi baadhi ya watu kumuona Magufuli kama fisadi!

Hebu tujaribu kuiuliza historia na hisabati ili tuweze kumjadili vizuri. John Magufuli (JM) amekuwepo Bungeni na Serikalini tangu awamu ya 3 ya Mhe. Ben Mkapa hadi awamu hii ya 4 ya JK. Ni wazi kuwa JM amekuwepo kwenye taasisi hizo takribani tangu miaka 20 iliyopita. Nyumba 60 kila moja inaweza kuwa na construction value isiyozidi Tsh. 35,000,000/= ambapo jumla yake ni takribani 2.1 billion/-. Ukichukua 2.1billion ukawagawanya kwa miaka 20 utapata Tsh. 105,000,000/= kwa mwaka. Ukienda mbali kidogo ukagawa 105,000,000/= kwa miezi 12 utapata Tsh. 8,750,000/= kwa mwezi, kipato ambacho ni cha kawaida tu hata kwa mtu ambaye siyo mbunge wala waziri. Ikumbukwe pia kuwa Enzi za Mkapa kachukua Gratuity ya Bunge mara 2, kipindi cha Kikwete kachukua Gratuity ya Bunge mara 1 na sasa anachukua nyingine ya 2. Kiwango cha Gratuity ya Bunge unakijua vizuri. Aidha zipo fursa nyingi za mikopo kwa wale wanaoukwaa ubunge hivyo kwa mtu mwenye vision ya maisha haitamsumbua kujenga nyumba 60 kama za JM pale Chato.

Unaweza kuongezea,

Barabara ya Bwanga Chato hadi njia kuu Biharamulo Muleba imejengwa na hela zilizokuwa diverted na Magufuli kutoka Kipande cha Bwanga - Biharamulo
 
CV ya John Pombe Magufuli
 
Attachments

  • 1436693023231.jpg
    1436693023231.jpg
    90.4 KB · Views: 108
Unaweza kuongezea,

Barabara ya Bwanga Chato hadi njia kuu Biharamulo Muleba imejengwa na hela zilizokuwa diverted na Magufuli kutoka Kipande cha Bwanga - Biharamulo

mkuu ni vigumu kuwa aminisha watanzania hayo mambo..!!!
Bora ukae kimya kwa sababu sioni ukweli....!!!
 
Kambi ya LOwasa wanatetemeka kwa MAGUFULI kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm. Wengine wanampango wa kutoroka nchi. Kambi imeshavunjika kila mmoja anajiangalia mwenyewe. Lowasa anampango wa kujisalimisha kwa Kikweyte, Mwinyi na Mkapa. Joto imepanda. Kikwete NOMAAAA!!!!!!!!!!!
 
Magufuri anaweza kuwa na nia nzuri ya kuwavusha watanzania,lakini wasiwasi wangu ni mfumo atakao kutana nao akishapewa ikulu...kikwete nae alipokelewa kwa mbwebwe kama hizi..inanipa shida sana
 
Back
Top Bottom