musa marwa
Member
- May 5, 2015
- 10
- 1
Kama msomaji majina ni Nape basi hata kama Lowasa kapita amini jina hatosoma
lisipokuwepo wataipenda kwa sababu sisi wananchi ndio tunamtaka.
Lowasa oyee
Kwani Lowasa na Nape hawaelewani, kwa nini?
kama msomaji majina ni nape basi hata kama lowasa kapita amini jina hatosoma
Sababu ya wizi wa Lowasa
Anapewa updates na Nape sasa Nape kafunga simu.
We jamaa tangu utoe updates bado hujaelewka tuma kitu kamil alo.
Waganga wote wameshindwa kumsaidia?
Lowassa
Ramadhani
Migiro
mwandosya
Pinda