Agustino Ramadhani MAKAMU WA RAIS
Top five kutoka nyuma.?
Inama.!!Haya tuoneshe nyuma kwa kidole tukuelewe
Usemalo ni kweli kabisa. Tatizo ni kwamba hakuna mbadala. Upinzani ndio hovyo mara kumi ya CCM.
Kwani nani kakudanganya kuwa Lowasa anakubalika na wananchi wengi? Ni lini wananchi tulifanya uchaguzi tukaamua kuwa Lowasa ndo chaguo letu?Teh teh teh...
Subiri tu Mkuu, Hakuna namna ya kumuondoa LOWASSA.
Mwalimu Nyerere(mmoja wa waasisi) aliwahi kusema, "bila CCM kuchagua mgombea anayekubalika na wananchi ndani na nje ya CCM, isitegemee ushindi".
Hakuna namna, LOWASSA ndiye!
Niliahidi mengi. Kubwa zaidi mje kunikata kichwa
Org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com
CHAMA CHA MAPINDUZI
tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani
tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama
Nape N
k/mwenezi
PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
fafanua kauli yako
Wakuu edo ameshakatwa, toka jikoni hio
lowasa akipita tu napea aanze kutafuta kazi kwingine
Inama.!!