Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

UPDATES:kamati ya maadili ya tayari imemaliza kikao chake, kikao cha Kamati Kuu kinaendelea sasa kuwapata wagombea 5 watakaopelekwa NEC kupata 3.Ni mapumziko sasa wajumbe wa Kamati Kuu wameenda kufuturu kisha watarudi tena kuendelea na kikao.
 
Lowassa akikatwa naacha kwenda kuhiji kwa TB Joshua Nigeria.... maana huyu mtumishi alitabiri rais wa tano wa TZ ni EL
 
WWW.Chamachamapinduzi.org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com

CHAMA CHA MAPINDUZI

tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani

tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama

Nape N
k/mwenezi

PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Leo wadau mmekua waganga wa jadi tena wale matapeli
 
Usemalo ni kweli kabisa. Tatizo ni kwamba hakuna mbadala. Upinzani ndio hovyo mara kumi ya CCM.

hahaha endeleen kujipa moyo..august tunakutana field tuanze kaz ama mvua ama jua ikulu ni kunusa tuu..huyo makongoro nyerere ajiandae kukilea chama akiwa upinzan
 
Teh teh teh...

Subiri tu Mkuu, Hakuna namna ya kumuondoa LOWASSA.

Mwalimu Nyerere(mmoja wa waasisi) aliwahi kusema, "bila CCM kuchagua mgombea anayekubalika na wananchi ndani na nje ya CCM, isitegemee ushindi".

Hakuna namna, LOWASSA ndiye!
Kwani nani kakudanganya kuwa Lowasa anakubalika na wananchi wengi? Ni lini wananchi tulifanya uchaguzi tukaamua kuwa Lowasa ndo chaguo letu?
 
Org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com

CHAMA CHA MAPINDUZI

tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani

tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama

Nape N
k/mwenezi

PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

We jangili wewe......website zenyewe za uongo
 
Edo hayumo wakuu, napa namwona anaongea na wana habari, halmashauri kuu na mkutano mkuu ni kesho
 
Org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com

CHAMA CHA MAPINDUZI

tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani

tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama

Nape N
k/mwenezi

PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

unazingua
 
Back
Top Bottom