Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwani nani kakudanganya kuwa Lowasa anakubalika na wananchi wengi? Ni lini wananchi tulifanya uchaguzi tukaamua kuwa Lowasa ndo chaguo letu?

Nyie magamba mbona mnashindwa kusitiriana
 
Kakatwa tayari!

Kama kakatwa watakuwa wamemwonea! Kwani kafanya nini ambacho hawajawahi kukifanya hao ambao wameketi hapo CC! Yesu aliwahi kuwaambia watu waliotaka kumpiga mawe mwanamke aliyekamatwa kwenye uzinzi kuwa ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe! Wote walitoroka! Wanafahamu kuwa jamaa ana mvuto! anakubalika ndani na nje ya chama! Bila huyo, itahitaji mizengwe ya kupita kawaida mgombea wa chama cha kijani kupata urais! Lakini wao ndio wenye chama, sisi yetu macho!
 
Lowassa anatambia wapambe wake tu lakini kwa Dr. Mangulla amekatwa kiulaini kama timu fulani isivyotamba mtaa wa Msimbazi.

hivi we umerogwa subiria Nape akurushe roho Kagame tu mmeuogopa,ACHANA NA KUALA LUMPUR
 


ukaona uweke address chaka ili kujipa moyo? wamemkata mzee wetu bana
 
Wajumbe wamemaliza kufuturu na sasa wameshaingia kwenye ukumbi kuendelea na kikao. Vyovyote itakavyokuwa lazima majina hayo matano yapatikane mapema na NEC itafanyika usiku huu kwa vile kesho ni Mkutano Mkuu

we jamaa unajiona mangullaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…