Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kuna stori niliwahi kusikia kuwa aliye achiwa kafimbo na nyerere ni lazima aje kuwa rais.
 
Magufuli atatekeleza ilani ya ccm. Na ilani ya ccm inaamini katika wizi wa mali ya uma. Hatatusaidia as long anatoka ccm
 

Ina maana magamba wote wanampenda hata akina Nape ila wanaomchukia ni UKAWA tu?
 
Kweli ccm imeishiwa maarifa/maamuzi/mipango/mbinu hata mawazo/maono.

Kinachoendelea hapo dodoma ni kama michezo fulani ya kuigiza yani kiwango hafifu. Sijui ni nani kawaloga....!!!

Aibuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…