chura mweusi
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 394
- 89
ha ha ha ha ha ha ha yetu macho na masikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazoea mabarabara aje ajenge barbara hadi baharini bure.
Kakatwa kidogo au pakubwa?Nasikia kakatwaaaaaa
Kuna gari la matangazo linapita hapa na kutangaza kuwa kakatwa
Habari za uhakika ni kwamba Lowassa amekatwa miguu tayari!!!Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa
Org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com
CHAMA CHA MAPINDUZI
tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani
tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama
Nape N
k/mwenezi
PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Huo ni uzushi. Nimefungua hiyo website haifunguki
Rais bila baraza la mawaziri inawezekana kweli au ushabiki
Alitabiri lini kama sio uongo?