MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Duh! Poleni sana wazalendo.Watu tumekesha toka J5 hadi leo! Mimi na wazee wenzangu tuna mapresha na visukari pls tunaomba hiyo tano bora japo tulale leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Poleni sana wazalendo.Watu tumekesha toka J5 hadi leo! Mimi na wazee wenzangu tuna mapresha na visukari pls tunaomba hiyo tano bora japo tulale leo
Lowasa akikatwa basi ntaamini Mungu hayupo
Mbona maamuzi yanakua magumu, hata majasiri wanagwaya kutoa maamuzi maguma
Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa
moshi mweupe sio kazi lahisi,
Kakatwa kidogo au pakubwa?
moshi mweupe sio kazi lahisi,
Sasa kinachosababisha msitulie ni nini?
silali mpaka kieleweke
Ngoja nilale, mtanijuza kilichojiri hata PM.
UKAWA wanashadadia sana habari za CCM
Watu tumekesha toka J5 hadi leo! Mimi na wazee wenzangu tuna mapresha na visukari pls tunaomba hiyo tano bora japo tulale leo
Mtia nia Lowasa leo hii Nia inamtia yeye
Mkuu sio mweupe ni wakijani