Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi mweupe maana yake kimeeleweka!
Haya sasa, habari ndiyo hiyo. Lowasa kapita 5 bora.
Nilipost post asubuhi juu ya ukweli kuhusu Lowasa kupita na sasa anajiandaa kutafuta 1bora uzi ukafutwa baada ya Nape kulalamika kuwa tunapotosha wakati anajua kuwa ukweli tumeupata.
Wana bod narudia tena Lowasa kapenya 5 bora na hii ni taarifa niliyoipata tena muda huu toka kwa reporter wangu aliopo dodoma.
Narudia tena kama nimedanganya nilimwe ban
Hatimaye amekatwa rasmi.
mtoto wa shehe Yahaya amesema kuna cha cha kijani mgombea wake mzee ataanguka wakati wa kampeni na ataded akiwa anapelekwa hosp.
haah haah kinagonga nyavu za chini au juukitu kinagonga chupi halafu kinarudi ndani.
hhhahaa kwelDuh tano bado kutangazwa tupo page 105 kwenye hii thread, bila shaka mpaka huu mchakato uishe tutakuwa na page zaidi ya 3000
Haya sasa, habari ndiyo hiyo. Lowasa kapita 5 bora.
Nilipost post asubuhi juu ya ukweli kuhusu Lowasa kupita na sasa anajiandaa kutafuta 1bora uzi ukafutwa baada ya Nape kulalamika kuwa tunapotosha wakati anajua kuwa ukweli tumeupata.
Wana bod narudia tena Lowasa kapenya 5 bora na hii ni taarifa niliyoipata tena muda huu toka kwa reporter wangu aliopo dodoma.
Narudia tena kama nimedanganya nilimwe ban[/QUOT
Mkuu kweli? tupe list kamili basi au unacheza bahati nasibu?