Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hatuandamani hatunywi sumuuuuuu
Ccm mbele kwa mbeleeee
Tumeipenda wenyeweeee
1.JPM
2.ARM
3.MM
4.EL
5.MY
Haya sasa kazi kwishaaa
 
Wanataka wapunguze presha. Wanataja mara moja tu... Tano bora walikuwa ni ndugu XYZPG?, tatu bora ni PYX, na nambari moja niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii P. Watu weeeeeeeeeeeeeee, wengine matumbo yanazimia kwa sekunde maana mrija unakuwa umekatika ghafla, no food supply
 
Ingekuwa enzi za nyerere saa hiz kingeshaeleweka zamaaaaani...lakini leo naona ccm hakuna straika wa kuamua mchezo ndio maana mechi imeenda muda wa nyongeza had matuta lakini bado holaa...! Ccm ya sasa ni kama brazil ya sasa hakuna mastraika wa kumaliza gemu...!

Wote hawajanawa!hawawezi kunyosheana vidole
 
Ukatae ukubali shauri yako lakini Magufuri ndio atakae pita 5 bora, 3 bora na hatimae 1

Naitamani sana Serikali ya Edwad Ngoyai Lowassa ( RAISI) na John Pombe Magufuli-PM hii nchi itanyoka sana.
Lakini hata mkienda dhmbi y kukata jina la EL. Basi Magufuli ndo Mnyamwezi pekee kuubeba mzigo huu. Vinginevyo-- UKAWA KAMA WANANAWAA!!
 
Mbona sioni wanasiasa wakongwe kama Sitta, Pinda, Mwakyembe, Bilal, Wassira na Sumaye ambao wametangaza nia wakiongelewa humu? au ndo washakubali matokeo? Yaani wanashindwa kuungana wote angalau tukasikia ata tetesi feki ya kuwemo 5 bora? Hakika siasa za urais zina wenye nazo
 
Makasisi,mapadri,mashekhe,Na mitume na manabii wote akikatwa lowassa wataporomoka kihiduma na kinabii.Na majina tunawajuwa wote,wa nje na wa ndani ya tanzania.
 
kikao kimeahirishwa mpaka kesho saa 4 asubuhi

chanzo:mwananchi online
 
Hii ndio nimeota mda huu na lowasa yumo

1.JOHN P MAGUFULI


2.BERNARD MEMBE


3.Prof MACK MWANDOSYA


4.EDWARD N LOWASSA


5.ASHAROSE. MIGIRO
 
mimi nime sikia baadhi ya wajumbe nje hapa ya makao makuu kuwa wanajaribu kumshauri aliondoe mwenyewe jina.Ili kutuliza upepo wasionekane wamelikata wao.Hali ni tete kwa uamuzi wowote.Wakimkata chama kitaharibikiwa.Wakimwacha kwenye tano bora amepata na hivyo kejeli zao atazilipiza kwavyovyote vile.Mtu kama Nape ana jua akipita EL,ita bidi arudi kijijini kulima nyanya
 
Mbona sioni wanasiasa wakongwe kama Sitta, Pinda, Mwakyembe, Bilal, Wassira na Sumaye ambao wametangaza nia wakiongelewa humu? au ndo washakubali matokeo? Yaani wanashindwa kuungana wote angalau tukasikia ata tetesi feki ya kuwemo 5 bora? Hakika siasa za urais zina wenye nazo

Hao ni kenge katika msafara wa mamba (Mashishanga, 2005).
 
Back
Top Bottom