nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Sidhani kwamba ccm wanaweza kumpitisha mtu waliyekuwa wakizunguka huko na huko wakimuita fisadi na GAMBA. Haiwezi tokea na ikitokea basi ccm ni chama dhaifu kuliko tunavyodhani..!!
BACK TANGANYIKA
haa haa akipita 5 bora nitaamini ufisadi ndo sera rasmi huko ccm. na je ile gic ya kumsafisha mgombea wao itabidi ibebwe kila mahali wakati wa kampeni kumsafisha.