singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Bado wanasafisha moshi kwanza,umefuka mweusi sana
Masaa yanahesabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wanasafisha moshi kwanza,umefuka mweusi sana
Haina ubishi kwamba huyu mheshimiwa ni maarufu kuliko chama chenyewe sasa,,maana macho na masikio ni kwa lowasa tu,,jamaa anawapa shida wenzake huyu
CCM hawana ujasiri wa kuondoa jina la jamaa!Shiee!mbona imeshakatwa!
kwa nini huo uganga wao wasiutumie kuifanya tanzania nchi tajiri duniani bali ni kujinufaisha tu kimadaraka?kinachosababisha cc isipate mwafaka ni hao waganga kina kingunge..
Mpaka dakika hii moshi bado ni mweusi huko dodoma ikiashilia bado majina matano hayajapatikana
Watu kutoka maeneo mbali mbali ya nchi wameelekeza maskio na macho yao huko dodoma kuangalia kama moshi mweupe umetoka kutoka kwenye ofisi kuu za ccm mjini dodoma
lete basiii apudeti keshakatwa
huyo atachaguliwa zanzibar na umagambani. hatuwezi chagua rais wa tanganyika toka nchi jirani kamwe.
nasubiri hii kitu mkuu , wanafiki wote wataumbuka sana .Makasisi,mapadri,mashekhe,Na mitume na manabii wote akikatwa lowassa wataporomoka kihiduma na kinabii.Na majina tunawajuwa wote,wa nje na wa ndani ya tanzania.
Amekatwaaaa!
Lowasa akikatwa basi ntaamini Mungu hayupo