Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mpaka dakika hii moshi bado ni mweusi huko dodoma ikiashilia bado majina matano hayajapatikana

Watu kutoka maeneo mbali mbali ya nchi wameelekeza maskio na macho yao huko dodoma kuangalia kama moshi mweupe umetoka kutoka kwenye ofisi kuu za ccm mjini dodoma

FIRE wanatakiwa wajulishwe
 
watu wanaweza kurefresh page mpaka asubuhi yakawa kama ya jana kumbe ..wajumbe wamehailisha wamelala..ccm bana
 
Makasisi,mapadri,mashekhe,Na mitume na manabii wote akikatwa lowassa wataporomoka kihiduma na kinabii.Na majina tunawajuwa wote,wa nje na wa ndani ya tanzania.
nasubiri hii kitu mkuu , wanafiki wote wataumbuka sana .
 
Back
Top Bottom