Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wakate wasikate tunaomba rais wetu mzalendo kwasababu kundi letu sisi linaitwa la wazalendo
 
Hi wanajanvi.
Nafikiri wewe na mimi wote tunatambua kuwa waliorudisha form za kuomba kupeperusha bendera ya kijani ni wengi, 38 kwa idadi na wote wako mji mkuu Dodoma wakisubiri kwa hamu watangazwe rasmi kupeperusha bendera.
Wasiwasi wangu ni kwanini 99% wanamsikilizia Bw. Lowassa kuwa either jina lake limepitishwa au la?
Kuna nini juu ya hili jina? Ni safi sanaaa au chafu sanaaa?
 
article-1385915-0BFF586E00000578-904_634x448.jpg
 
Hi wanajanvi.
Nafikiri wewe na mimi wote tunatambua kuwa waliorudisha form za kuomba kupeperusha bendera ya kijani ni wengi, 38 kwa idadi na wote wako mji mkuu Dodoma wakisubiri kwa hamu watangazwe rasmi kupeperusha bendera.
Wasiwasi wangu ni kwanini 99% wanamsikilizia Bw. Lowassa kuwa either jina lake limepitishwa au la?
Kuna nini juu ya hili jina? Ni safi sanaaa au chafu sanaaa?

rostam, karamagi, chenge, tibaijuka nk amabo wako nyuma yake ni wezi tu
 
vuvuzela liliposema hakuna mda wa kukata rufaa lilimaanisha hivi,majina machafu matano yanatangazwa hapohapo yanatangazwa machafu matatu mwisho moja lililo chafu kuliko yote.
 
Back
Top Bottom