Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali tete....
LOWASSA ndiye, leo mmekalia msumari wa moto, Hakuna cha UKAWA wala CHADEMA, wote tunasubiri mgombea wa CCM chama Dume!dubu ametiwa nguvuni na jeshi, no more updates
Hi wanajanvi.
Nafikiri wewe na mimi wote tunatambua kuwa waliorudisha form za kuomba kupeperusha bendera ya kijani ni wengi, 38 kwa idadi na wote wako mji mkuu Dodoma wakisubiri kwa hamu watangazwe rasmi kupeperusha bendera.
Wasiwasi wangu ni kwanini 99% wanamsikilizia Bw. Lowassa kuwa either jina lake limepitishwa au la?
Kuna nini juu ya hili jina? Ni safi sanaaa au chafu sanaaa?
Asante baba, Ubarikiwe!Lowasa ndio rais wetu ajae
kwa nini huo uganga wao wasiutumie kuifanya tanzania nchi tajiri duniani bali ni kujinufaisha tu kimadaraka?
watu wanaweza kurefresh page mpaka asubuhi yakawa kama ya jana kumbe ..wajumbe wamehailisha wamelala..ccm bana