Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa

lazima akatwe, halafu neno hili linmlenga mtu mmoja tu
 
Haya sasa, habari ndiyo hiyo. Lowasa kapita 5 bora.

Nilipost post asubuhi juu ya ukweli kuhusu Lowasa kupita na sasa anajiandaa kutafuta 1bora uzi ukafutwa baada ya Nape kulalamika kuwa tunapotosha wakati anajua kuwa ukweli tumeupata.

Wana bod narudia tena Lowasa kapenya 5 bora na hii ni taarifa niliyoipata tena muda huu toka kwa reporter wangu aliopo dodoma.

Narudia tena kama nimedanganya nilimwe ban
 
Back
Top Bottom