Hot Lady
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,035
- 638
Huo ni uzushi. Nimefungua hiyo website haifungukiHii inaukweli wowote?
BACK TANGANYIKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uzushi. Nimefungua hiyo website haifungukiHii inaukweli wowote?
BACK TANGANYIKA
Lowassa akikatwa naacha kwenda kuhiji kwa TB Joshua Nigeria.... maana huyu mtumishi alitabiri rais wa tano wa TZ ni EL
nimeipenda ,
kinavurugika yeye ni nani? ambaye anamtaka nafasi iko wazi kwa zitto ACT kwanini wanangangania kama wanaonewa?
basi wajue ccm ni zaidi wao,
Leo mmeacha kazi zenumkuifuatilia ccm. Ccm ni chama kubwaccm ni zaid ya shetani
Panga limeshaandaliwa.Niliahidi mengi. Kubwa zaidi mje kunikata kichwa
Ukatae ukubali shauri yako lakini Magufuri ndio atakae pita 5 bora, 3 bora na hatimae 1
Huo ni uzushi. Nimefungua hiyo website haifunguki
ginehe ngosha!?Jambo afande!
Hahahaaa kumbe na wewe umestukia eeh?
Ukiona mtu anaogopwa sana na mpinzani wako basi jua kuwa huyo ndo anafaa.
Manake kama angekuwa hafai wangejinyamazia kimya tu ili CCM wamchague mgombea bomu halafu waje wamshinde kwenye uchaguzi.
Lakini sasa hivi ni kana kwamba wana-UKAWA wanaishauri CCM kuhusu nani anafaa na nani hafai.
I mean, kwa nini Lowassa anachukiwa hivyo?
I guess if you ain't got no haters you ain't poppin' and on that note Lowassa is definitely poppin'.
Futuru ya wakubwa inchukua muda mrefu. Tuvute subira
katairiwa!?Nasikia kakatwaaaaaa
Leo mmeacha kazi zenumkuifuatilia ccm. Ccm ni chama kubwa
Panga limeshaandaliwa.