Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Walikate tu mana tutakuwa wehu kumpitisha lwasa kwenye kamati kuu ya chama inayo endelea dodoma
 

yeyoooooooooooooooooooo, Mi nachungulia tu kwa mzee wa nyeupe :behindsofa:
 

Punguza jazba na kuwa mpole 2 :mullet::mullet:
 
Lowassaaaaaaa inajulikana ndo rais wa awam ya tano Kwa njia yoyote Ile na kupitia Chama chochote kile
 
Nakubaliana na wewe inaweza kuandikwa historia kupitia kwa Lowasa,tusubiri tuone mana hakuna ajuaye ya kesho.
 
Kwa wajuzi wa mambo kinachochelewesha mambo mpaka sasa ni jina la LOWASSA..walifikili ni rahisi tu hata kulikata wakaja kugundua ni hatari zaidi kulikata kwenye hatua hii ya tano bora..
 
Majina matano yatatolewa na Kamati Kuu itakayokaa kuanzia saa nane mchana leo!
 
 
4.Update
Wakuu Kuweka Updates sio lahisi kama mnavyodhani sababu ulinzi ni mkali na hakuna aliyeruhusiwa kuingia na simu. Kumbuka hii ni kamati ya maadili, hivyo kuweni mavumilivu. Kikao kinaendelea



Sielewi ulinzi no Kali wapi, yaani hapo sokoni ulipo Leo ulinzi Kali, duuuh wapambe nuksi
 
Pressure kubwa kwa raia Tujuzane jamani mambo yakoje huko Dom!!
 
Kwa habari zi sizo rasmi lakini za uhakika hawa ndiyo tano bora ,
1 Asha Rose
2 January Makamba
3 Muigulu Nchemba
4 Magufuli
5 Lowasa

Hii ndiyo CCM..... ! !
 
Hakuna fisadi wala mwana makundi ataingia ikulu ila mtu safi mwenye kumuogopa Mungu.
 
Kwa wajuzi wa mambo kinachochelewesha mambo mpaka sasa ni jina la LOWASSA..walifikili ni rahisi tu hata kulikata wakaja kugundua ni hatari zaidi kulikata kwenye hatua hii ya tano bora..

lowasa akipitishwa 5 bora mambo yatakuwa yameisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…