Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwa habari zi sizo rasmi lakini za uhakika hawa ndiyo tano bora ,
1 Asha Rose
2 January Makamba
3 Muigulu Nchemba
4 Magufuli
5 Lowasa

Hii ndiyo CCM..... ! !

kwa hali walio nayo sa hv ccm, 5 bora yoyote lazima jina la makongoro nyerere liwepo.
 
Picha hii hapa
pic+vichwa.jpg
 
Habari Zilizonifikia Hivi Punde Kutoka Mkutanoni Dodoma Ni Kwamba Tayari Yale Majina 5 Yameshapatikana Na Sasa Mazingira Yanatengenezwa Ili Kuyataja Rasmi Na Kwa Mlio Dodoma Hapo Chungulieni Nje Mnaona Ugeni Gani Mkubwa Wa Ghafla Wana Ulinzi Na Usalama Hapo? Mnajua Ni Kwanini ULINZI Huo UMEIMARISHWA Ghafla Mchana Huu? Muda Wowote Kuanzia Sasa Hayo Majina Yatatajwa Na Mchana Huu Baada Ya Mapumziko Kidogo Wajumbe Wanarudi Upesi Ukumbini Kufanya Mchujo Na Kuwabakisha Watia Nia 3 Tu Ambao Kesho Ndiyo Watashindanishwa Ukumbini Na Hatimaye Kupatikana Mmoja. Ninaloweza Kusema Na Ambalo Ni Fumbo Kwenu Sisi Wazalendo Tunamshukuru Sana Na Mno Mzee Philip Mangula, Wazee Wa CCM Na Wenye Heshima Kubwa Na Mdahalo Ule Wa Juzi Wa Taasisi Ya Mwalimu Nyerere Kwani KILICHOPITISHWA Kimetokana Na Matamshi, Matakwa Na Wosia Wao Na NASEMA KUWA CHAMA SASA KIMERUDI KATIKA MISINGI YA BABA WA TAIFA Na Watanzania Wenzangu Haswa WAZALENDO Na Wenye UCHUNGU Na Nchi Hii POPOTE MLIPO TAFADHALINI Anzeni Kufurahi Kwani Mwenyezi Mungu AMESIKIA KILIO CHETU. Nimefurahi, Nimefurahi, Nimefurahi Na Akhsante Mungu. Sasa NITALALA USINGIZI.

Kama Upo Makini PASOME Vizuri Na Kwa Umakini Mkubwa Hapo Nilipoweka Rangi Nyekundu Kisha Utaelewa Namaanisha Nini. KAZI IMEKWISHA Hakuna Cha KASKAZINI Wala KUSINI Na Maslahi Na Ustawi Wa Chama Ndiyo Umezingatiwa Ili Kuua Makundi Ambayo Yangeidhoofisha Chama.

Mchana Mwema Nyote ILA Msikae Mbali Na Radio Zenu Kwani Muda Wowote Patakuwa Na Breaking News Ya UTANGAZWAJI Wa Majina Hayo Ya 5 Bora Mimi Sasa Kwa Furaha Iliyoje Nakwenda Zangu KUFURAHI. Nchi IMERUDI Rasmi Kwa WAZALENDO.

Lowassa hakatwi
 
Kikao cha cc ndio kimeanza now

Sasa si utaje hiyo tano bora mkuu
 
Si rahisi kupata picha kwa ssa tulieni tutazidi kkufahamisheni
 
Kama EL hayuko kwenye list njia ya M4C iko tambarare.
Mwalimu aliwaambia SIKILIZENI WANANCHI WANACHOKITAKA.
Wananchi wameonesha wazi kwamba wanampenda E Ngoyaye L

Mwalimu huyo huyo alisema LOWASA si safi na hafai kuwa Rais kwasababu ana tuhuma za ufisadi na akasema mgombea wa CCM hapaswi hata kutuhumiwa..

Sasa hapo we unasemaje.?
tusikilize lipi la mwalimu.??
 
Back
Top Bottom