Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

3.Pinda hafai...hafai...hafai...hafai....kabisa wala sihitaji kuweka ushahidi kila kitu kiko wazi
5.January arudi shule tu mwizi + familia yake tu haiwezi ndio ataweza nchi.....hafai
5.Mwanamke big No!! Atakuwa kilemba tu kama bibi kiroboto
 
Nasikia mkasi umeshindwa kukata wakaleta shoka nalo likashindwa sasa hivi wanafanya utaratibu wa gesi..
 
nimeanzisha uzi huu kwa lengo la kujuzana yanayoendelea dodoma mpaka dakika ya mwisho
karibuni!
 
6.Ramadhani anawekwa coz ya uzenjibari but nae mweupe ni.mbakaji wa hali na sheria
 
waliosema taarifa itatolewa saa nane wameingia mitini. Mambo bado lakini moshi mweupe lazima utoke leo
 
nafikiri source ya uhakika iliybaki ni twitter ya ccm,wengine kutiana presha tu
 
ndani ya NEC na mkutano mkuu lowasa anapendwa mpaka ana deka. ccm wakijichanganya tu wakampitisha lowasa kwenye tano bora wameisha.
 
Unampenda wewe na familia yako pamoja na ndugu zako wa ukoo wako

Posuta, sio mimi ninaempenda. Mimi niko Chadema na ni Chadema damu, ila kwa sisiem wasipomchagua EL wameumia. Najua chaguo lako wewe ni mtoto wa mkulima aka wapigwe tu. Yule haingii Ikulu kwa miguu yake labda abebwe tena kama alivyobebwa na JK na sio kwa wadhfa wa rais
 
3.Pinda hafai...hafai...hafai...hafai....kabisa wala sihitaji kuweka ushahidi kila kitu kiko wazi
5.January arudi shule tu mwizi + familia yake tu haiwezi ndio ataweza nchi.....hafai
5.Mwanamke big No!! Atakuwa kilemba tu kama bibi kiroboto

Kwi kwi kwi
 
ukweli ni kuwa kamati kuu ndo imekaa mda mfupi uliopita na ndiyo itateua majina 5.

ambayo yatapeleka halmashauri kuu (NEC) itakayokaa kuanzia saa 12 jioni na ndo itachagua majina matatu.

sasa kama kuna mtu kakatwa basi labda kamati ya maadili iwe nayo inakata.
 
Back
Top Bottom