Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kumbuka sisimizi aweza kumuua tembo. Achana na hofu za kibinadamu.
 
Hivi mbona mnashambulia white head wa watu kawakosea nini jamani mnasema hamtaki wezi Ikulu

1.Kwani huyo anayetoka ana usafi gani mpk asafishe wengine na kusea eti hataki.mafisadi ilihali yeye ni fisadi namba Moja.

2.huyo membe wanayemtaka ni mbovu kuliko anayetoka na ni mwizi kabisa subiri mumpe nchi ndio mtasema bora lowassa
 
Kama EL hayuko kwenye list njia ya M4C iko tambarare.
Mwalimu aliwaambia SIKILIZENI WANANCHI WANACHOKITAKA.
Wananchi wameonesha wazi kwamba wanampenda E Ngoyaye L

Acha woga wewe
 
Back
Top Bottom