Amekatwa au Hajakatwa?
LOWASSA ndiye, leo mmekalia msumari wa moto, Hakuna cha UKAWA wala CHADEMA, wote tunasubiri mgombea wa CCM chama Dume!
watu wanazungumzia 3 BoraLowasa amepita tano bora safi sana,safari ya matumaini Oyeeeeeeeee..
Lowasa akikatwa basi ntaamini Mungu hayupo
EL ndo habari ya Magogoni
CCM ni genge la wahalifu...mpaka saa hizi wapo kimya...shenzi kabsaa