Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

[QUKROTE=Bavaria;13241689]Amekatwa au Hajakatwa?[/QUOTE]

Mbona kitamboo tens vipandevipande jamaa wanaroho mbaya hawa wamemuhnic bhana yan wamemfanyia UKRISTU BILA HURUMA
 
Lowasa amepita tano bora safi sana,safari ya matumaini Oyeeeeeeeee..
watu wanazungumzia 3 Bora
ww una mawazo ya mchana ya 5 Bora
yaani Mkutano Mkuu sasa ndio unaosubiriwa umchague mmoja
safirini salama mtuachie Mji wetu wa Dodoma salama
 
[QUKROTE=Bavaria;13241689]Amekatwa au Hajakatwa?[/QUOTE]

Mbona kitamboo tena vipandevipande jamaa wanaroho mbaya hawa wamemuhnic bhana yan wamemfanyia UKRISTU BILA HURUMA
 
Taarifa nilizozipata kutoka Dodoma ni kwamba kuna mvutano mkali sana miongoni mwa wajumbe wa NEC,wafuasi wa Lowassa wamechachamaa na kumweka Mwenyekiti ktk wakati mgumu sana,uwezekano ni kwamba huenda jina la Lowassa likaingia kwenye 5 bora ili kuepusha vurugu zitakazoweza kutokea endapo jina lake litakatwa.Hali ni mbaya kuliko ilivyotarajiwa.
 
chama cha hovyo sana watu 30 wanashindwa kutoa maamuzi ,kisha kuna watia nia wapo kwenye kikao si haki
 
××××SIJAWAHI KUTABIRI NIKAKOSEA×××××

Toka mwaka 1995 sasa huu ni utabiri wangu binafsi. Utabiri ni makisirio yna kabla yanayojumlisha mambo mengi(huwa ni close to actual or equivalence). UTABIRI ni kuwa majina matano ya CC yatapita na wengi wataondolewa kwa vigezo vi3 ukiacha ushauri wa baraza la wazeee 1. Kutokuwa na ujuzi wa uongozi ndani ya chama 2. Kutokuaminika kwa waliowahi kuasi chama wakahama na kurudi tena 3. Kutokuwa na ujuzi wa Uongozi na ujuzi wa serikali ya Jamhuri. Watano ni hawa

1. Lowasa
2. Dr. Bilali
3. Pinda.
4. Membe
5. Asharose

Na kutoka NEC, kwa kuwa NEC ina wajumbe 401 basi majibu yatakuwa hivi;

1. Lowasa 211
2. Membe 78
3. Pinda 45
4. Asharose 38
5. Bilali 22

Kura 7 zitaharibika.

Mkutano mkuu yataenda majina ma3 Lowasa, Membe na Pinda na wajumbe wa mkutano mkuu wapo 2600 matokeo yatakua kama ifuatavyo;

1. Lowasa 1678
2. Membe 655
3 Pinda 240

Kura 17 zitaharibika

Lowasa atashinda kwa kishindo(zaidi ya 60%) na Mgombea mwenza atakua ni Bilali kubalance Muungano, Pia mamlaka itamtaka ampe Membe uwaziri mkuu #makubaliano kubalance team# hivyo Membe ataenda kugombea ubunge hata kama alishaaga.

Narudia: Safari ya Matumaini siipendi ila kwa Busara ya haraka hakuna Jinsi tunaipenda CCM yetu, wana CCM tupo mil 6 wapiga kura ni mil 24. #Utabiri Binafsi#

By Banyamulenge Mkwawa.

Forwaded as received
 
Hivi kunannini?huu mchakato nlikuwa ufanyike Jana.Mara usiku wakasitisha.hata Leo nape tena katoka nje na kauli ya tano bora itatangazwa was nne kesho asubuhi
 
Back
Top Bottom