Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nipo white house hapa dodoma muda huu,,kikao kinaendelea ila habari zachini chini ni kwamba mzee el kamba ipo shingoni
Soon mtaelewa tu
 
Raisi hawezi toka Kaskazini= Rais hawezi kuwa mkristo =wanasiasa vijana hao marafiki wa Makamba.
 
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?

Anaangalia documentary ya ujio wa Barack Obama Tanzania...
 
Sasa nyie mnaotudanganya mna watu wenu jikoni wanawepenyezea habari mbona hamna jipya..yaani taarifa za hivi punde ni kwamba mambo mpaka kesho dadek
 
Kwa akili yako finyu, unadhani bila mgombea imara kutoka CCM, kuna ushindi? Huo ujinga, umaskini, maradhi..etc utapambana nao vipi? Hapa tunazungumzia uchaguzi.
 
Naona kichaa kimekupanda na ma dr bahati mbaya hawapo wanasubiria tako bora ya ccm . Macho kideoni
 

Hahaha hofu yako nn si Chama tu mkuu wembe kwako
 
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?

Yupo yeye, kingunge na Dr wake toka German wanaangalia TV.
 

Watajuana wenyewe tunataka 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…