MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Habari motomoto-tano bora kutangazwa baada ya daku. Zidumu fikra za mwenyekiti.
Watakua wameshavimbiwa kwa kula viporo hawawez kutangaza tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari motomoto-tano bora kutangazwa baada ya daku. Zidumu fikra za mwenyekiti.
Yeye mwenyewe alisema hakuna mwanachama ambae anaweza kukata jina lake.majibu tutapata Leo.....View attachment 267157
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?
Kwa akili yako finyu, unadhani bila mgombea imara kutoka CCM, kuna ushindi? Huo ujinga, umaskini, maradhi..etc utapambana nao vipi? Hapa tunazungumzia uchaguzi.Hili ndio tatizo la magamba…badala ya kumchagua raisi ambae atapambana na mafisadi, maradhi,ujinga ,rushwa nk wewe unamtaka Lowasa aje apambane na UKAWA…Tatizo hilo ndio maana tuko nyuma kwa kila kitu ktk Afrika Mashariki…Kenya wanaendelea kutupiga bao, Rwanda nayo pamoja na janga la Kimbali wamekwenda hatua kibao zaidi yetu…nasema tena CCM ni janga jamani la Taifa
Uunge mkuu twendekazi
Hili ndio tatizo la magamba badala ya kumchagua raisi ambae atapambana na mafisadi, maradhi,ujinga ,rushwa nk wewe unamtaka Lowasa aje apambane na UKAWA Tatizo hilo ndio maana tuko nyuma kwa kila kitu ktk Afrika Mashariki Kenya wanaendelea kutupiga bao, Rwanda nayo pamoja na janga la Kimbali wamekwenda hatua kibao zaidi yetu nasema tena CCM ni janga jamani la Taifa
Hivi nyie mnavyohisi lowassa sasa hivi yupo wapi?
Kalala?
Anakunywa kahawa?
Yupo na watu wakumtia moyo?
Au yupo peke yake sebleni anaangalia kipima joto?
Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM,KIKWETE ndani ya NEC
Kingunge, Kone na Msindai wanaratibu mpango wa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM,KIKWETE
Wadau amani iwe kwenu.
Taarifa nilizopata hivi punde kutoka Dodoma zinasema kuwa baada ya Team Lowasa, Friends of Lowasa na 4U MOVEMENT kubaini kuwa jitihada za mafisadi za kufanikisha Lowasa anaenda Magogoni zinagonga mwanba, mawakala wa mafisadi hao chini ya uratibu wa Kingunge Ngombale Mwiru na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone wanaratibu mpango wa kumuondoa Madarakani Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete. Taarifa zinasema kuwa mawakala hao wa mafisadi wameshindwa kutekeleza mpango wao huo ndani ya kikao cha Kamati Kuu na sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ambao utafanyika hivi punde.
Taarifa zinasema pia kuwa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai naye amejiunga kwenye harakati hizo ili kuhakikisha kuwa kubwa la mafisadi nchini, Edward Lowasa linaenda Ikulu iwe kwa amani au kwa shari. Katika kuhakikisha kuwa lengo hilo linafanikiwa, muda mfupi uliopita Kingunge, Kone na Msindai wameonekana maeneo ya Chuo Kikuu cha St Gasper wakigawa fedha ambapo taarifa mjumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu aliyejiunga kwenye timu ya mafisadi amepewa shilingi milioni 5. Aidha, wajumbe hao wameahidiwa shilingi milioni tano nyingine ambazo wameahidiwa kupewa ikiwa watafanikiwa lengo lao hilo.
Baadhi ya wajumbe ambao wamepenyeza taarifa hizi wamedai kuwa wanachofanya akina Kingunge ni cha kipuuzi hasa baada ya Mwenyekiti huyo wa CCM Taifa kuziba mianya yote ya mafisadi kumpitisha mtu wao. Kwamba Rais Kikwete anasimamia haki na wamempongeza kwa kusimamia misingi ya chama.
Wadau, hawa ndio mafisadi. Wameamua liwalo na liwe kuhakikisha kuwa fisadi lao linaenda Ikulu. Nawaomba Watanzania kusimama imara kupinga mkakati huu ovu ili chama chetu na nchi yetu isingie kwenye machafuko. Bahati nzuri wanaofanya vitendo hivi wanafahamika. Watambue kuwa kumchezea Mwenyekiti wa CCM ni kumchezea Mkuu wa nchi kwa vile Kikwete ana kofia mbili.
Hahaha,,mguu ushakatwa cku ming