Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwa habari zi sizo rasmi lakini za uhakika hawa ndiyo tano bora ,
1 Asha Rose
2 January Makamba
3 Muigulu Nchemba
4 Magufuli
5 Lowasa

Hii ndiyo CCM..... ! !

kwa hali walio nayo sa hv ccm, 5 bora yoyote lazima jina la makongoro nyerere liwepo.
 

Lowassa hakatwi
 
Kikao cha cc ndio kimeanza now


Sasa si utaje hiyo tano bora mkuu
 
Si rahisi kupata picha kwa ssa tulieni tutazidi kkufahamisheni
 
Kama EL hayuko kwenye list njia ya M4C iko tambarare.
Mwalimu aliwaambia SIKILIZENI WANANCHI WANACHOKITAKA.
Wananchi wameonesha wazi kwamba wanampenda E Ngoyaye L

Mwalimu huyo huyo alisema LOWASA si safi na hafai kuwa Rais kwasababu ana tuhuma za ufisadi na akasema mgombea wa CCM hapaswi hata kutuhumiwa..

Sasa hapo we unasemaje.?
tusikilize lipi la mwalimu.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…