Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Membe
Migiro
Magufuri
Makamba
Amina

Na Hapo Atakayepitishwa Na CCM Ni Dr. John Pombe Magufuli Kwani TEAM LOWASSA Wote Wataamua Kumuunga Mkono Yeye ILI Kumkomoa Membe Na Hapa Ndipo Ule Ubashiri Wangu Kwenu Wa Muda Mrefu Kuwa Rais Atakuwa Kati Ya Magufuli au Muhongo au Mwandosya Unakaribia Kutimia. Kama Unajua Siasa Na Fitna Zake Hutopata Shida Kujua Kuwa MAGUFULI Ndiyo CCM Flag Bearer Na Possible 80% Our Next President. Mliokuwa Mnanitusi Kuhusu Lowassa Wenu Endeleeni Kunitusi Na Mliobaki Najua Kesho Saa 11 Jioni Mtanivulia Kofia Kwani Magufuli Ndiyo Anapitishwa Rasmi.
 
Basi Kama Sasa Hawafanyi Hicho Kikao Watakuwa Wanakuzalisha. Kwahiyo Waandishi Waliokaa Hadi Sasa Hapo Ukimbini Wanatambika au?

Mkutano wa sasa ulikuwa kamati kuu, ndio inayotoa 5 bora.

Mkutano wa 3 bora ni kesho, halmashauri kuu,jifunze lugha ya staha!
 

Unabii karibu kutimia; mafisadi there is no way out.... Tanzania njema kuzaliwa ni lazima apende ama asipende mtu.

Is either now or never nipo na miguu yangu nimeikita kuhakikisha hakuna fisadi anaelekea jumba takatifu. Huu ni mwanzo prepare for surprises!
 

popoma tupo pamoja tkt hili.
 
Wengine wamelia leo but those who laugh today will cry the most!

Ushukuriwe Mungu wa mbinguni baba wa mianga, mzee wa siku, bwana wa vita, mwenye enzi na mamlaka kwa uaminifu na haki yako kuu!
 
Hatimaye yametimia
 

Attachments

  • 1436567737813.jpg
    67.7 KB · Views: 916
1: membe
2: magufuli
3: asha migiro
4: january makamba
5: amina. Ali
 
Je wanaweza enda Mkutano Mkuu na kusema walionewa na wakasikilizwa na jina likarudishwa?
 
Nape live star TV anasema majina matano kesho yataenda halmashauri kuu SAA NNE asubuhi.!
 
B.Membe
A.Migiro
J.Maghufuri
J.Makamba
Amina S.Ali

Source:kutoka kwenye twitter ya CCM usiku huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…