ustadhjuma
Member
- Apr 2, 2015
- 25
- 3
Membe ndio atakuwa mgombea wa ccm mungu akipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu yangu isije timu ya Lowasa kukomoa wakampigia huyo Amina Ally wakatuletea balaa
Na hicho ndicho ninachokihofia na pia nimeshangaa sana January kapitaje hapa.
Leo nimeshinda JF hivi hivi kama mzaha.
Tunasubiri maamuzi magumu kwa hamu kubwa.. #siasani
Kwa kigezo cha pande mbili za Muungano, maana yake hapo anatafutwa wa kusindikizana na Amina kukimbiza bendera. Na kwa kigezo cha ku-balance jinsia, maana yake Asha-Rose yuko nje! Mpambano upo kati ya Membe, Magufuli na Makamba!
Ameonekana akifanya mazoezi ya viungo ili kuthibitishia umma kuwa yuko "fit" kiafya na yuko tayari kuutumikia urais kupitia upinzani.Jamani nauliza hali ya mamvi tu....
Na hicho ndicho ninachokihofia na pia nimeshangaa sana January kapitaje hapa.
Je wanaweza enda Mkutano Mkuu na kusema walionewa na wakasikilizwa na jina likarudishwa?
Ameonekana akifanya mazoezi ya viungo ili kuthibitishia umma kuwa yuko "fit" kiafya na yuko tayari kuutumikia urais kupitia upinzani.