Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hii nchi tukiwachagua CCM hakika twapoteza nchi yetu.. tuwajaribu na UKAWA pia...
 
Hivi mbona watu mna akili za kimatakomatakotako*£€^% hivi mbona mnaamini uongo??????????????????????????????????????? Tano hawajatajwa ninyi mnaweweseka why?????????????
 
Leo nimeshinda JF hivi hivi kama mzaha.

Emmanuel Nchimbi amehojiwa na waandishi wa habari was star TV sasa saa 7.50 asubuhi(ama usiku) hii ni baada ya mkutano wa Nape na waandishi wa habari, Mhe Nchimbi ametangaza rasmi kuwa katiba ya CCM imevunjwa na wao wanajitenga na maamuzi ya chama. Hakufafanua wao nani bali amesema wamekubali kutokukubaliana. Nchimbi alisita kutaja majina. Naye Nape amesema majina matano yanapelekwa halmshauri kuu kwa kujadiliwa leo saa 4 asubuhi.
 
Kwa kigezo cha pande mbili za Muungano, maana yake hapo anatafutwa wa kusindikizana na Amina kukimbiza bendera. Na kwa kigezo cha ku-balance jinsia, maana yake Asha-Rose yuko nje! Mpambano upo kati ya Membe, Magufuli na Makamba!

Usim'under rate' Asha.Kumbuka alivyotoka UN kazi yake ya kwanza ilikuwa CCM, na alizunguka nchi nzima na akina Nape & Kinana. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuwekeza.
 
Na hicho ndicho ninachokihofia na pia nimeshangaa sana January kapitaje hapa.

Kapita kama Kijana.. Group la Vijana alikuwa yeye, Mwigulu na Kigwa..

Haya matokeo wengine tulishayajua tangia mchana, sema mabadiliko ni kwa Amina sie tuliambiwa Bilal
 
siamini kabisa kama kibarua changu cha ua-admin wa hili group la whatsapp ndio kimekoma leo.this is not not fair.
kakatwa.jpg
 
Je wanaweza enda Mkutano Mkuu na kusema walionewa na wakasikilizwa na jina likarudishwa?

Unapoenda Kutoa Haja Kubwa Chooni Unaweza Tena Ukayachukua Mavi Yako Na Kuyarudisha Tumboni Mwako? Lowassa Ndiyo Bye Bye Mkuu.
 
Back
Top Bottom