Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hahahaahah....mzee lowasa kwisha habari yake sasa mapambano ndo yanaaanza sasa

Hakuna Episode niliyokuwa naisubiri kwa hamu kama hii,hapa ndio tutajua nani kidume nani dhaifu. Ukimwaga mboga namwaga ugali,hapa Mkwere kashamwaga Ugali sasa ni zamu ya Mamvi kumwaga Mboga.
 
Kwa kigezo cha pande mbili za Muungano, maana yake hapo anatafutwa wa kusindikizana na Amina kukimbiza bendera. Na kwa kigezo cha ku-balance jinsia, maana yake Asha-Rose yuko nje! Mpambano upo kati ya Membe, Magufuli na Makamba!
 
Nchimbi anasema hakubaliani na uamuzi kwa kuwa katiba na kanuni imekiukwa! Ah jamaa anaongea kwa kujiamini kama anataka kukinukisha flani ila kagoma kutaja majina kama ilivyokuwa kwa Nape.!
 
Imebidi tu akatwe maana hamna namna nyingine......
Kidumu chama cha mapinduzi..
 
Hapo tatu bora ni Membe, Pombe, na Asha

Unfortunately bombe will not make it; its ordained this to happen that the glory be manifested!

Mungu ndiye mtawala wa dunia hii na kila goti litapigwa kwake.... Its too big to believe it happening ....uwiii Mungu kumbe ndivyo ulivyo? Ulipoongea baba I thought was dreaming waooooo Lord of mercy you are so mighty and powerful!

My people go and prepare the fat and sweet Mungu amikumbuka Tz.... Its too true to believe na wengi bado hamuamini lakini kwa wale waliojaliwa kuona basi, leo ni siku yao ya shangwe kuu.
 
Back
Top Bottom