Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Usim'under rate' Asha.Kumbuka alivyotoka UN kazi yake ya kwanza ilikuwa CCM, na alizunguka nchi nzima na akina Nape & Kinana. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuwekeza.

Mkuu sijam"under-rate" na ndio maana nimeweka criteria ya pande mbili za Muungano na criteria ya ku-balance jinsia! Sitarajii kwamba watapitisha kina mama wawili, na sitarajii kwamba watapitisha wa-Bara wawili!!!
 
Naona wazee wa TISS wameshinda vita, magufuli tu Hapo ndio afadhali

Akipita nitarudisha imani yangu iliyokengeuka na prngine itabidi nipeleke hoja za nguvu kujenga case yangu against; vinginevyo wee acha tu popcorn zangu!
 
...kingunge na wanawe wataamkia magezetini "safari ya matumaini ilianzia Arusha na kuishia Dodoma"...ma-mviii ajipange upya 2020 sio mbali kwa mtafutaji kama yeye...
 
Usim'under rate' Asha.Kumbuka alivyotoka UN kazi yake ya kwanza ilikuwa CCM, na alizunguka nchi nzima na akina Nape & Kinana. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuwekeza.

Uki'connect the dots... Asha huyo huyo alivyorudi fasta akapewa wizara nyeti...

Asha huyo huyo bunge la juzi alisimama kidete miswada ya ovyo ipite..

Asha huyo huyo ndie alikuwa UN..

Tanzania hii hii ndio kumegunduliwa Mafuta na Gesi..

Ukijaribu tena ku'connect the dots.. hata Muhongo nae aliletwa na wamarekani hao hao..

Muhongo huyu huyu akajifanya mzarendo kuwabania gesi.. Deposity kubwa ya mafuta bandari ya Mtwara Muhongo alisema wasipewa kampuni za nje waachie TPDF..

Muhongo huyo huyo akaundiwa zengwe.. wakasitisha mpaka misaada ili wawajibishwe...

Muhongo huyo huyo hata bungeni wala hatutomuona..

(Mafuta na Gesi tusipoangalia vitatuharibia Tanzania yetu, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika)
 
Et membe yupo sita hayupo......Et makamba yupo makongoro hayupo....et migiro yupo mwakyembe hayupo,,,et amina yupo agustino hayupo..... Yaan wa afadhali wameachwa wamechukuliwa maushenz haya?

Km haya majina ni ya kweli basi watanzania jiulizen kuhusu huyu fisad kikwete anaitakia nn nchi yetu?.....hii sio nchi yake......UKAWA shuken field tuanze kaz ya kuelekea october
 
Naona nchi haipo serious au tunafikiri nchi inaenda automatically Maana kodi ya paye na vat na mikono tunapata
 
Unacheka Mkuu Kimweri,yaani January ni bora kuliko Kigwangala,Muhongo,Pinda,Mwakyembe na hata Lowasa?


CCM could have an easier campaign, they chose the hardway, UKAWA wanatakiwa washangilie kwa kweli. CC couldn't have botched the mission worse than they have!

Huku namuona "raisi wa kipekee duniani", huku namuona bidada UN iliyomshinda, huku namuona Amina-mwerevu, ila sio mwenye kufahamika.

wamejitahidi kwenye sehemu ya uadilifu, ila sehemu ya Mvuto overall top 5 yao iko around 40%. wajiandae kuchapisha noti za kutosha kuiuza hii timu.

Kama mamvi ataamua kumwaga mboga na kuhamia UKAWA, hawa top 5 yao yote ana uwezo wa kutunishiana nao misuli, kwani wengi wana vijikashfa vya kuwapakazia kwenye media. Ukichanganya na pesa zake.., Lowassa has a very goo chance to make 2015 a memorable election.

CCM had the driving seat, but as usual they gave the steering wheel away.

Dr.Slaa,Lipumba and team must be on Lowassa speed dial by now.
 
hahaha naona membe njia nyeupe,kupeperusha bendera ya ccm!.yani ccm mmeishiwayani kwenye hiyo list wote ni bure kabisa
 
Back
Top Bottom