= Magufuli
Hahahaahah....mzee lowasa kwisha habari yake sasa mapambano ndo yanaaanza sasa
Nashindwa kuelewa hawa Wanawake si ndio yale yale ya Makinda?
popoma tupo pamoja tkt hili.
Nape live star TV anasema majina matano kesho yataenda halmashauri kuu SAA NNE asubuhi.!
Hofu yangu isije timu ya Lowasa kukomoa wakampigia huyo Amina Ally wakatuletea balaa
Hapo tatu bora ni Membe, Pombe, na Asha