Unacheka Mkuu Kimweri,yaani January ni bora kuliko Kigwangala,Muhongo,Pinda,Mwakyembe na hata Lowasa?
CCM could have an easier campaign, they chose the hardway, UKAWA wanatakiwa washangilie kwa kweli. CC couldn't have botched the mission worse than they have!
Huku namuona "raisi wa kipekee duniani", huku namuona bidada UN iliyomshinda, huku namuona Amina-mwerevu, ila sio mwenye kufahamika.
wamejitahidi kwenye sehemu ya uadilifu, ila sehemu ya Mvuto overall top 5 yao iko around 40%. wajiandae kuchapisha noti za kutosha kuiuza hii timu.
Kama mamvi ataamua kumwaga mboga na kuhamia UKAWA, hawa top 5 yao yote ana uwezo wa kutunishiana nao misuli, kwani wengi wana vijikashfa vya kuwapakazia kwenye media. Ukichanganya na pesa zake.., Lowassa has a very goo chance to make 2015 a memorable election.
CCM had the driving seat, but as usual they gave the steering wheel away.
Dr.Slaa,Lipumba and team must be on Lowassa speed dial by now.