binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
then benard membe is the next president.
Hatimaye yametimia
ndio mkuu,hizo zote ni namba zangu.zipo hewani 24/7.
Et membe yupo sita hayupo......Et makamba yupo makongoro hayupo....et migiro yupo mwakyembe hayupo,,,et amina yupo agustino hayupo..... Yaan wa afadhali wameachwa wamechukuliwa maushenz haya?
Km haya majina ni ya kweli basi watanzania jiulizen kuhusu huyu fisad kikwete anaitakia nn nchi yetu?.....hii sio nchi yake......UKAWA shuken field tuanze kaz ya kuelekea october
Ee we mutu upo duniani? ...unasubiri moshi wa kijani dodoma?
Jamani nauliza hali ya mamvi tu....
ccm pitisheni hilo galasa membe basi
siamini kabisa kama kibarua changu cha ua-admin wa hili group la whatsapp ndio kimekoma leo.this is not not fair.
View attachment 267195