Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Et membe yupo sita hayupo......Et makamba yupo makongoro hayupo....et migiro yupo mwakyembe hayupo,,,et amina yupo agustino hayupo..... Yaan wa afadhali wameachwa wamechukuliwa maushenz haya?

Km haya majina ni ya kweli basi watanzania jiulizen kuhusu huyu fisad kikwete anaitakia nn nchi yetu?.....hii sio nchi yake......UKAWA shuken field tuanze kaz ya kuelekea october

Yaani wee acha tuu,hizi ni dharau kubwa sana kwa watu wazima na wenye heshima zao kama wakina Pinda,Mwakyembe,Makongoro na Jaji,yaani Makamba ni zaidi ya hao wote kweli?kweli kikwete kaamua chama kimfie mikononi mwake.
 
GENTAMYCINE uko juu... taarifa yako ya mchana ilikuwa ya ukweli. Ubarikiwe sana kuwa mkweli.
 
siamini kabisa kama kibarua changu cha ua-admin wa hili group la whatsapp ndio kimekoma leo.this is not not fair.
View attachment 267195


hahahahaha Mkuu ebu weka na mnazofarijiana sasahivi tuone..

kuna watu wanaanza career upya.. kuna vitoto vingine vilitoka chuo vikahaidiwa mpaka ubalozi nje ya nchi na UDC..

Maskini zote zimeyeyuka.. kesho wanaanza kutembea na bahasha maana Mzee hawatamuona tena na wakipiga namba ya Mzee au Bashe wataambulia matusi tu teh teh teh... Wamemlia Mzee wa watu pesa bure..

Na nyie mliochukua 25,000 za udhamini sijui mtapata laana gani..

Daah labda mzee amepewa kitalu kimoja cha gesi, Rostam kapewa Tanesco na Karamagi kapewa Bandari warudishe gharama zao..

(All in All, KARMA is a Biatch.. Mlinyonga Salim 2005, sasa zamu yenu.. How does it feel Mr. Prezident)
 
Last edited by a moderator:
wala siamini, yaani hamna mkristo hata mmoja, waislam wanne na mpagani mmoja.
 
Eti Membe yupo Sita hayupo...... Makamba yupo Makongoro hayupo.... Migiro yupo Mwakyembe hayupo...Eti Amina yupo Agustino hayupo..... Yaani waafadhali wameachwa wamechukuliwa wagonjwa wazima wameachwa..isipovunjika CCM vipande safari hii basi wakamshukuru shetani wao..
 
Back
Top Bottom